Utoro wa wabunge bungeni tena bunge la bajeti, tatizo ni nini?

Kwahiyo

Kwahiyo bungeni kazi za nje ya bunge ambazo ni muhimu kuliko kuhudhuria vikao. Wapo spika anaruhusu wabunge wengi kutokuhudhuria kwa sababu ya bunge digital ,sisi wananchi je nasi digital
hao walioko nje ambao huwaoni apo mjengoni, wapo wanafanya kazi za nje za wanainchi, wana ruhusa ya speaker na wanafuatilia each and everything mjengoni ๐Ÿ’.

sasa unauliza tena, sisi wananchi vep, as if wengine sio wananchi ๐Ÿ’.

waliopo wanatosha kabisa kufanya kazi na shughuli za bunge, kulingana na kanuni za bunge, Sheria na katiba ya nchi, ndio maana huoni kazi yoyote ikilega wala kusimama ๐Ÿ’

by the way ni bunge la bajeti tu, bunge ambalo ni rahisi zaid ๐Ÿ’
 
Amusing. Very amusing. Yaani mkubwa unatiririka na mashairi kabisa kutetea mushkeli wa taasisi. Bunge digital? Hilo sio bunge ni charade!
 
Amusing. Very amusing. Yaani mkubwa unatiririka na mashairi kabisa kutetea mushkeli wa taasisi. Bunge digital? Hilo sio bunge ni charade!
kua na maoni na mtazamo tofauti na uhalisia ni haki na uhuru wako, you must enjoy it wisely like that....

but hiyo haiondoi ukweli bayana kwamba, mjengoni kazi zinaendelea kama kawaaida, kwa bidii na weledi na viwango vya juu sana, upende usipende ni juu yako.....

But that's the open truth ๐Ÿ’
 
Kama ni hivi ,basi tunapoteza pesa bure kuwalipa hao jamaa
kua na mtazamo au maoni kama hayo ni haki na Uhuru wako.....

but upende usipende, kazi kubwa sana inaendelea kufanyika hapa mjengoni kwa bidii na weledi wa viwango vya juu sana, na kwa maslahi mapana ya Taifa, kwa mujibu wa kanuni, taratibu, Sheria na katiba ya nchi bila mbambamba yoyote ๐Ÿ’
 
Tusimung'unye maneno,tatizo ni ulegelege wa uongozi wa juu wa nchi.Hili lilidhibitiwa wakati wa Magufuli.R.I.P Comrade.
 
Kumbuka bunge ni muhimili huru
Hakuna uhuru usio na mipaka mkuu.Halafuu, kumbuka their immediate boss ni Speaker,huyu kashindwa kazi kwa kuwa kashindwa kuwaingiza wabunge.Finally Speaker naye boss wake ni Rais,huyu naye kashindwa kazi kwa kuwa naye kashindwa kumsimamia Speaker afanye kazi ipasavyo.So Speaker na Rais wote viatu haviwatoshi.
 
Ndugai tangu achomolewe mshawahi kumuona baka bencha mjengoni?
 
Wanainchi ambao mnaona wabunge wenu wanakimbia vikao vya bajeti wasubirieni kwenye kampeni muwape makavu. Na pia msiiwaache kwenye account zao za social media.
 
Vikao vya chama villivyo batizwa jina la bunge ni maigizo upuuzi mtupu ๐Ÿšฎ๐Ÿšฎ
 
Wabunge wenyewe ndio hao hawajui mashine ya CT SCAN wanaita T SCAN, uwepo wao ni sawa na kutokuwepo...
 
Hata wakihudhuria hawana mchango au hoja
 
Hiyo niliyoipiga bold na nyekundu ndiyo point ya maana toka kwako kada wa CCM. Ni muda wako wa kujidai huu. Mengine, akili kichwani mwangu. Sio?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ