wapendwa wanajf anaejua elimu ya utosi wa mtoto kudunda anijuze fasta naomba maana naona utosi wa kichanga changu hauchezi sina raha jamani nisaidieni sijawahi kuona utosi wamtoto mchanga usicheze angali mchanga
mkuu.@Chokochoko usitake ushauri wa watu hapa kabla ya mtoto wako kumpeleka Hospitali nenda hospitali kamuone Daktari muhusika wa watoto wachanga atakufahamisha nini cha kufanya. Kwani mtoto wako anaumwa?Kama mtoto wako haumwi kuna tatizo gani kuhusu Utosi wake ikiwa haudundi?