Mpeleke hospitali,mambo kama hayo ya watoto sio ya kutaka ushauri.tanguliza mungu kwa kila jambo..kuna doctor wa muhimbili lakini anakuwa anapiga kazi private ijumaa kuanzia saa kumi yuko tmj na jumamosi saa sita na nusu yuko agakhan na jumapili kuanzia saa tatu..mpeleke akushauri anaitwa kuboja doctor mzuri sana wa watoto na public holiday pia anapiga kazi agakhan..nakupm namba yake umuulize leo yuko hospital gani.