tpaul
JF-Expert Member
- Feb 3, 2008
- 24,225
- 22,632
Kuna mtoto mdogo wa miaka minne ambaye utosi ulishaacha kupiga kwa muda mrefu, na hivi sasa amekuwa mvulana mkubwa hadi ameanza masomo yake ya chekechea, lakini ghafla utosi wake umeanza kupiga tena! Hili suala limenishangaza sana maana sijawahi kusikia wala kushuhudia tukio kama hili hapo kabla.
Jamani, kama kuna mtu aliwahi kushuhudia kitu kama hiki naomba anisaidie ili nijue pa kuanzia. Je, hili tatizo ni la kitabibu au inawezekana likawa la kimazingira? Tafadhali nijulishe ili nijue hatua muafaka (za kitabibu au mazingira) za kuchukua.
:help: