Na watoto wa aina hii ndiyo wanaokomaa kiakili na kimtazamo mapema. Hata nidhamu ya pesa ya wanakuwa nayo katika umri mdogo kabisa. Na huwa ukubwani mafanikio hayawakwepi kabisa kwa sababu wamejifunza upambanaji na heshima ya pesa tangu wadogo.
Hakuna sehemu nimesema ni jambo jema.Upuuzi Sana, yani unaona hili Ni Jambo Jena?
Je, kama na mimi nimepitia hayo maisha pia? Jifunze kutafakari.Upuuzi Sana, yani unaona hili Ni Jambo Jena?
Je, kama na mimi nimepitia hayo maisha pia? Jifunze kutafakari.
Ccm inapenda wote tuishi hivi.View attachment 2054076
Hali ya uchumi ikiwa nzuri kunakuwa na mpishi wa kupika na mtoto huitwa chakula kikiwa tayari. Elimu ndiyo imetoa nafasi kwa watoto wengi kupata muda wa kufaidi utoto wao wawapo shuleni. Wengine wakirudi nyumbani wana majukumu ya kutunza wazazi wagonjwa na kujitafutia chakula.
Pole sana lakini kisicho kuua hukuimarisha.Ni kweli kabisa Sky babaangu alipokufa nina miaka 11, Baba alikua ni kila kitu,mama alikua analia tu miaka 15 iliyofuata analia tu.
Ndio Mtoto wa kiume mkubwa basi nikawa ndo Baba tena aisee nilifanya kila kitu, kuuza karanga nimo, big G nimo, mayai ya kuku nimo,kuiba nimo, kuuza kuku nimo,kuvuta bange nimo,gongo nna miaka 14 nimo,ujambazi nimo mpk leo naonaga km nimepitia movie la kutisha sana.
Hayo maisha sikuomba kupitia na hakuna anayeomba kupitia ugumu fulani, lakini niliyapitia.Trick question: Kama umepita na imekuwa vyema kwako, utampitisha mtoto huko? Hata Mimi nimepita Na sasa Ni mtu mzima, najitahidi Sana kulea wanangu tofauti.
Pole sana mkuu. Kikubwa hukukata tamaa na leo upo hapa ni ithibati kuwa wewe ni shujaa.Ni kweli kabisa Sky babaangu alipokufa nina miaka 11, Baba alikua ni kila kitu,mama alikua analia tu miaka 15 iliyofuata analia tu.
Ndio Mtoto wa kiume mkubwa basi nikawa ndo Baba tena aisee nilifanya kila kitu, kuuza karanga nimo, big G nimo, mayai ya kuku nimo,kuiba nimo, kuuza kuku nimo,kuvuta bange nimo,gongo nna miaka 14 nimo,ujambazi nimo mpk leo naonaga km nimepitia movie la kutisha sana.
Hata ukiwaona watoto wanaoishi maisha magumu unajua maumivu wanayopitia. Pole sana.Hayo maisha sikuomba kupitia na hakuna anayeomba kupitia ugumu fulani, lakini niliyapitia.
Sitapenda watoto wangu wapitie aina hii ya maisha, lakini ntawafundisha wajifunze kuwa na shukrani kwa maisha nitakayowapa kwa sababu mimi sikuyapata maisha aina hiyo.
Nimeshapoa mkuu, hii imenijenga kuwa mtu mwenye huruma na mkarimu.Hata ukiwaona watoto wanaoishi maisha magumu unajua maumivu wanayopitia. Pole sana.
Acha tu mkuu, niliingia maisha ya mtaani mapema sana niliona nikilemaa hapa familia inaisha hapa.Pole sana mkuu. Kikubwa hukukata tamaa na leo upo hapa ni ithibati kuwa wewe ni shujaa.
Niko parefu sana niliimarisha enzi na mpaka leo ndio nahudumia familia yote.Pole sana lakini kisicho kuua hukuimarisha.
Kuna kaka alinihadithia ya kwake, baba yao alifariki, ambae alikua mfanya kazi. Baada ya msiba mama akawa mtunza familia. Siku za sikukuu majirani walitoa mchele wapikiwe. Mama alikosa mboga, alikaanga nyanya na vitunguu kwenye mafuta ya mawese. Hii ndiyo mboga ya kulia wali wa sikukuu.Niko parefu sana niliimarisha enzi na mpaka leo ndio nahudumia familia yote.
Ndio inavyotakiwa,maza mpk leo akisema chochote namwambia tu hela yako ipo usijali.Kuna kaka alinihadithia ya kwake, baba yao alifariki, ambae alikua mfanya kazi. Baada ya msiba mama akawa mtunza familia. Siku za sikukuu majirani walitoa mchele wapikiwe. Mama alikosa mboga, alikaanga nyanya na vitunguu kwenye mafuta ya mawese. Hii ndiyo mboga ya kulia wali wa sikukuu.
Jamaa alipotoboa alijenga apartments, za chini moja alimuweka mama yake.
Hakika mkuu. 🙏🏼🙏🏼🙏🏼Tuwaheshimu wazazi wetu kusema kweli,walitenda mambo kwa roho moja.leo hii tunaishi bado na baraka zipo tu.
Cycle of poverty everyday.Na watoto wa aina hii ndiyo wanaokomaa kiakili na kimtazamo mapema. Hata nidhamu ya pesa ya wanakuwa nayo katika umri mdogo kabisa. Na huwa ukubwani mafanikio hayawakwepi kabisa kwa sababu wamejifunza upambanaji na heshima ya pesa tangu wadogo.