Utoto katika mapenzi!

Utoto katika mapenzi!

yassird200

JF-Expert Member
Joined
Jan 2, 2025
Posts
466
Reaction score
813
Wakuu habari zenu, natumai mu wazima wa afya. Changamoto yangu iko hivi niko 20s lakini sijawahi kupata mwanamke seriously wote wanautoto mwingi sana.
Jambo lilonifanya nifikirie kudate na wanawake wakubwa, finally nimempata huyu best ake sister nikidhani yuko matured lakini chakushangaza kila Jambo anasimulia dada yangu mbaya zaidi yuko 30s. Binafsi me ni mtu nisiependa utoto mwingi na kuweka wazi mahusiano yangu jambo hili linafanya nisiwe na amani napata shida hasa kumuangalia sister make utani nimwingi japo sio negative.

Je ni mimi niko nje ya wakati ama niko sahihi hasa amani? NB: natafta namna sahihi yakuachana nae au nakosea wakuu?
 
Wakuu habari zenu natumai mu wazima wa afya. Changamoto yangu ikohivi niko20s lkn sijawahi kupata mwanamke seriously wote wanautoto mwingisana. Jambo lilonifanya nifikirie kudates na wanawake wakubwa,finally nimempata huyu best ake sister nikidhani yuko matured lkn chakushangaza kila Jambo anasimulia dads yangu mbaya zaidi yuko 30s . Binafs me nimtu nisiependa utoto mwingi na kuweka wazi mahusiano yangu jambo hili linafanya nisiwe na amani napata shida hasa kumuangalia sister make utani nimwingi japo sio negative. Je ni mimi niko nje ya wakati ama niko sahihi asa aman? NB: natafta namna sahihi yakuachana nae au nakosea wakuu?
Mkuu umepiga hata mswaki kweli?
 
Kaka nimechoka

Nipo kazini ndo natoka shft
Aisee pole sana mkuu
IMG_20250108_144435.jpg
 
Wakuu habari zenu, natumai mu wazima wa afya. Changamoto yangu iko hivi niko 20s lakini sijawahi kupata mwanamke seriously wote wanautoto mwingi sana.
Jambo lilonifanya nifikirie kudate na wanawake wakubwa, finally nimempata huyu best ake sister nikidhani yuko matured lakini chakushangaza kila Jambo anasimulia dada yangu mbaya zaidi yuko 30s. Binafsi me ni mtu nisiependa utoto mwingi na kuweka wazi mahusiano yangu jambo hili linafanya nisiwe na amani napata shida hasa kumuangalia sister make utani nimwingi japo sio negative.

Je ni mimi niko nje ya wakati ama niko sahihi hasa amani? NB: natafta namna sahihi yakuachana nae au nakosea wakuu?
Ulishawahi kumlomba huyo rafiki wa Dada ako?
Kama kweli jifunze kulomba vizuri itakua bado hujui
 
Back
Top Bottom