Utoto katika mapenzi!

Utoto katika mapenzi!

Yeah am still in 20th
Wakati nna umri kama wako mwaka 1999,nilikuwa mpambanaji sana sana, kufika 2001 nikanunua viwanja viwili vya bei ya laki mbili kila kimoja, nilikuwa bahili hakuna mfano,wanawake nilikuwa sikainao sababu nilivuka kiwango cha ubahili.
 
Mkuu. japo kuwa sina assets lkn sipo shallow. Nafanyakazi japo ndo namwaka ila situmii pesa yangu vibaya
 
Back
Top Bottom