Utotoni; adhabu ipi uliiogopa sana kati ya hizi

Singida ndio home

JF-Expert Member
Joined
Feb 23, 2012
Posts
3,188
Reaction score
3,370
Ile umekosea kitu Fulani ambacho wazazi hawakipendi umefika home maza anakwambia
1.katafute kiboko mwenyewe
2.chagua kifaa kinachokufaa, hapo kuna mwiko, kiatu, ufagio na bakora mbichi inanesa nesa ya mpera
3.kaoge vizuri msubiri baba yako myamalize, hapa mzee akitoka kwenye mishe mishe anakuja kuimalizia siku kwako.
4.rudi ulikotoka, hii ilikuwa umerudi kwenu usiku
 
Hiyo ya 3 ya msubiri baba yako aje ilinifanyaga nikatoroka nyumbani. Niliondoka kuanzia mchana saa saba na sikurudi home tenaa.

Kufika usiku ikabidi wapige filimbi kijiji kizima kikaanza kunisaka. Mpaka kuja kunipata ni saa nane usiku. Nikabebwa mgongoni tukarudi home. Hapo nlikuwa na kama miaka 5 tuu.
 
Mzee alikuwa bondia nini??🙂🙂
 
Ulichapwa? Au ulisamehewa?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sijawahi kupewa option yoyote ya kuchagua, nani mwenye muda huo...kipondo tu
 
Back
Top Bottom