Singida ndio home
JF-Expert Member
- Feb 23, 2012
- 3,188
- 3,370
Ile umekosea kitu Fulani ambacho wazazi hawakipendi umefika home maza anakwambia
1.katafute kiboko mwenyewe
2.chagua kifaa kinachokufaa, hapo kuna mwiko, kiatu, ufagio na bakora mbichi inanesa nesa ya mpera
3.kaoge vizuri msubiri baba yako myamalize, hapa mzee akitoka kwenye mishe mishe anakuja kuimalizia siku kwako.
4.rudi ulikotoka, hii ilikuwa umerudi kwenu usiku