Singida ndio home
JF-Expert Member
- Feb 23, 2012
- 3,188
- 3,370
Mzee alikuwa bondia nini??🙂🙂Hiyo ya 3 ya msubiri baba yako aje ilinifanyaga nikatoroka nyumbani. Niliondoka kuanzia mchana saa saba na sikurudi home tenaa.
Kufika usiku ikabidi wapige filimbi kijiji kizima kikaanza kunisaka. Mpaka kuja kunipata ni saa nane usiku. Nikabebwa mgongoni tukarudi home. Hapo nlikuwa na kama miaka 5 tuu.
Ulichapwa? Au ulisamehewa?Hiyo ya 3 ya msubiri baba yako aje ilinifanyaga nikatoroka nyumbani. Niliondoka kuanzia mchana saa saba na sikurudi home tenaa.
Kufika usiku ikabidi wapige filimbi kijiji kizima kikaanza kunisaka. Mpaka kuja kunipata ni saa nane usiku. Nikabebwa mgongoni tukarudi home. Hapo nlikuwa na kama miaka 5 tuu.
[emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13]sasa ungekaa wapi?Wanichape si nitasepa wiki nzima?[emoji3][emoji3][emoji3]
From that day sikuchapwa tenaa
Ata najua? Si unajua akili za kitoto?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13]sasa ungekaa wapi?
Sent using Jamii Forums mobile app
Kweli utoto wako ulikuwa noma. Mimi nilikuwa nikichapwa nakaa hapo hapo wanichape hadi washibe.[emoji13][emoji13][emoji13][emoji13]Ata najua? Si unajua akili za kitoto?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kweli utoto wako ulikuwa noma. Mimi nilikuwa nikichapwa nakaa hapo hapo wanichape hadi washibe.[emoji13][emoji13][emoji13][emoji13]
Sent using Jamii Forums mobile app