Utotoni ulikuwa unapenda mchezo gani?

Mimi nilipenda sana mchezo wa Kamfichamano
 
mimi nilipendelea mchezo wa baba na mama aise hadi harusi nilifunga
 
kitu kombolela bana tena ulifanya nikapigwa na ding mpaka ****** yakawa kama mpira sikuweza kukaa siku 3 kisa niliharibu mtoto wajirani.
 
Aisee nlikuwa napenda kujipikilisha sufuria kisoda au zile vikopo vya viks kingo afu napikia ktk jiko la umeme enzi zile tanelec!
 
nilikuwa addicted na mchezo wa baba na mama.....hadi leo.....
 
kula mbakishie baba, huu mchezo mtoto wa mama huchezi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…