SI KWELI UTPC yamtaka Dkt. Slaa kuomba radhi kwa kauli yake inayodhalilisha waandishi wa habari

Baada ya kuitathmini taarifa hii, tumebaini kuwa si ya kweli.
Nawaunga mkono UTPC[emoji120]

Alichofanya Dr.Slaa ni kutumia mbinu dhaifu za "argumentum ad hominem" kuwachafua wengine ili apitishe hoja zake kinguvu....

Yaani msomi mzima anatuaminisha kuwa toka magazeti yaanze kuandikwa hakuna JEMA na BORA lililo na manufaa?!!!

Dr.Slaa anashangaza sana [emoji1787][emoji1787]
 
Pamoja na yote, Dr Slaa ana Stress! Kuna alichoahidiwa na Mwendazake ambacho Mrithi haendelei kukitekeleza. Anatafuta coming back hivi Sasa.
Inawezekana [emoji1787][emoji1787]

Dr.Slaa hana tofauti na akina Raila Odinga wanaochochea maandamano huko Kenya [emoji1787]
 
Hivi kazi za uandishi wa habari hazitaki uwezeshwaji kifedha ?!!![emoji15][emoji15][emoji15][emoji1787][emoji1787]

Lini "washenga" wamekosekana katika kila eneo?!!![emoji1787]
 
Jana wameshindwa kuripoti mkutano wa kina Dr. slaa ila magazeti yote yameandika kauli za Jerry silaa tunajua kabisa wapo kwenye payroll ya Rostam
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…