UTT AMIS naona kwenye account yangu ya UTT hela imeongezeka kidogo

Mkuu biashara yako ya mabilioni umefikia wapi Ili wadau wa UTT AMIS wapotoshe account zao na wao
 
Ingekuwa unawekeza kwa usd ingekuwa sana,tatizo shiling yetu yenyewe inashuka thamani.
Ukikaa useme uache miaka kadhaa unakuwa ni upuuzi tu
Ni kweli shilingi inashuka thamani wakati huo huo kipande hupanda thamani daily huoni kama kuna utofautibna yule aliyeweka mzigo bank ambapo kila mwezi kuna makato...
 
naomba kuna rate za mwaka n had 14% haiwez kuwa negative soko likipinduka au hii imekaeje?
kwa taraifa fupi zile ni hisaa so chochote kinaweza kutokeaa japo demand kushuka ni uongo wengi wanazidi kujiunga
 
Ili upate gawio la milioni 10 mtaji unaotakiwa unatosha kujenga Hospitali na kuanza kupiga hela za wagonjwa. Poleni sana wawekezaji, sehemu kama hizi zinawafaa watumishi wasiojua biashara na wezi wa mali za umma.

Kwa mfanyabiashara mzuri labda utumie tu kuhifadhi fedha za akiba kukwepa makato ya bank, vinginevyo ni wastage of time and resources.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…