UTT AMIS naona kwenye account yangu ya UTT hela imeongezeka kidogo

UTT AMIS naona kwenye account yangu ya UTT hela imeongezeka kidogo

Ulisema huko UTT umehifadhi tu pesa zako na sio biashara.
Lakini hapa unasema umenunua vipande UTT kila kimoja sh 113. Na pia unasema unaweza kuuza hivyo vipande wakati wowote ukitaka.

Hebu niambie hicho ulichokifanya kama sio biashara ni nini?

Utasema hiyo ni "investment". Kwani investment siyo aina fulani ya biashara??????

Ndugu yangu, let me take you back to school just a little bit.
What is business and what is investment?
The simplified answer is Investments and business are similar in that both need you to commit some money in anticipation of future profit or benefit. The key difference, however, is that in business; you are actively involved in management while in investments, your role is more passive.

Hellow !! Upo? Au utataka nikutafsrie?? [emoji23][emoji23]

Ndugu yangu, kubali tu kuwa unachokifanya huko UTT ni aina fulani ya BIASHARA ambayo sisi tunaona faida yake ni NDOGO SANA ukilinganisha na muda na kiwango cha uwekezaji. Sh, 1 kwa kipande???? No way man!!!! That is bullshit business.
Mkuu biashara yako ya mabilioni umefikia wapi Ili wadau wa UTT AMIS wapotoshe account zao na wao
 
naomba kuna rate za mwaka n had 14% haiwez kuwa negative soko likipinduka au hii imekaeje?
kwa taraifa fupi zile ni hisaa so chochote kinaweza kutokeaa japo demand kushuka ni uongo wengi wanazidi kujiunga
 
Ili upate gawio la milioni 10 mtaji unaotakiwa unatosha kujenga Hospitali na kuanza kupiga hela za wagonjwa. Poleni sana wawekezaji, sehemu kama hizi zinawafaa watumishi wasiojua biashara na wezi wa mali za umma.

Kwa mfanyabiashara mzuri labda utumie tu kuhifadhi fedha za akiba kukwepa makato ya bank, vinginevyo ni wastage of time and resources.
 
Back
Top Bottom