Thabit Karim
JF-Expert Member
- Sep 3, 2012
- 393
- 735
- Thread starter
- #101
Upo sahihi sana kwa Mentality ya Ki-Biashara... Pesa inatakiwa izunguke na izalishe,,, Kibiashara ukiwekeza 10m halafu upate return ya 88k monthly ni Failure..
Ila kwa mentality ya ki-Uwekezaji unakuwa haupo sahihi kimtindo,,,hizi huwa na faida kwa muda mrefu,, Ni sawa na Mtu anayepanda Miti leo na kutegemea avune baada ya 15 years... (hizi ndio aina ya investment vijana hatuwezi na mwisho watu hupigwa Kylinda)..
Cha msingi ni kuangali rate zao kama zinaenda sawa na kushuka kwa thamani ya Pesa...,,na uzuri wa Bonds, Eg za BOT ni unaweza kuzitumia kuchukulia Mkopo(badala ya kuweka Nyumba, ardhi),,, Yaani mfano kama ulinunua bonds za 100m,,,,ukawa unapata gawio la 10m kwa mwaka,,, Unaweza Chukua mkopo wa hata 70m na ile faida unayolipwa ikatumika kulipa Mkopo,,,na bado 100m yako ipo safe...
Maisha ni Akili tu Mtu wangu.
Facts sana. Huyu anashindwa kuelewa kwamba Kila mmoja ana malengo yake. Nimemwambia Kuna watu ramani kwa Sasa hazisomi na kufanya biashara alivyokua anafanya anaona ni risk so anaamua kutulia mpk nxt time. Sasa ule muda wa kusubiri biashara yake ikae stable anaamua kuwekeza UTT ili isikae bila kuingiza chchte angalau iingize kidogo mpk pale biashara ikiwa fresh then mtu anaamua kuitoa na kuipeleka rasmi kwny Ile biashara yake. Hili nalo eti ni kosa. Mi nfkr aje atueleze namna mtaji wake wa milioni unavyomuingiza mahela ya kumwaga badala ya kubwabwaja