Kwa bado ni kijana below 45 go for DSE nunua hisa za CRDB, Afriprise, Nicol and NMB but if you are above 45 go for UTT. Why nasema hivi? Hisa zina tabia ya kufluctuate sana…… unaweza kupata faida sana kuliko UTT na Bonds ila sometimes unaweza pata hasara kubwa au kupoteza mtaji. UTT ni sehemu isiyo na mawimbi makubwa so kama ni mtu usiyependa kashikashi go for it ila faida ni ndogo ~12% per year. Chaguo ni lak
Okay shukrani sanaKwa bado ni kijana below 45 go for DSE nunua hisa za CRDB, Afriprise, Nicol and NMB but if you are above 45 go for UTT. Why nasema hivi? Hisa zina tabia ya kufluctuate sana…… unaweza kupata faida sana kuliko UTT na Bonds ila sometimes unaweza pata hasara kubwa au kupoteza mtaji. UTT ni sehemu isiyo na mawimbi makubwa so kama ni mtu usiyependa kashikashi go for it ila faida ni ndogo ~12% per year. Chaguo ni lako
Inawezekana. Uliweka kwa muda gani maana riba za miezi zinatofautiana mpaka mwisho unapata wastani 10% 11% 12% 13% n.kNilifungua account UTT na M-Wekeza kote nikaweka kiwango sawa cha uwekezaji. UTT nilifungua Liquid. Baada ya mwezi M-Wekeza nilipata faida ya 42,000 na UTT nilipata 11,000.
Nje ya mada mkuu, unaweza kuni recommend nisome vitabu gani ili nipate uelewa zaidi juu ya uwekezaji hass katika masoko ya Hisa kama DSE. Kutokana na Jibu lako nahisi unaweza kuwa na uelewa wa haya mambo. Asante.Kwa bado ni kijana below 45 go for DSE nunua hisa za CRDB, Afriprise, Nicol and NMB but if you are above 45 go for UTT. Why nasema hivi? Hisa zina tabia ya kufluctuate sana…… unaweza kupata faida sana kuliko UTT na Bonds ila sometimes unaweza pata hasara kubwa au kupoteza mtaji. UTT ni sehemu isiyo na mawimbi makubwa so kama ni mtu usiyependa kashikashi go for it ila faida ni ndogo ~12% per year. Chaguo ni lako
Inawezekana. Uliweka kwa muda gani maana riba za miezi zinatofautiana mpaka mwisho unapata wastani 10% 11% 12% 13% n.k
Mwezi mmoja hautoshi kufanya tatmnini angalau mwaka mmoja ambapo kivyovyote nilazima UTT iwe juu kutokana na compound interest ya kila.sikuMwezi mmoja tu. Lengo lilikuwa kuwa na accounts zote mbili ndo kugundua kwingine napata faida zaidi
uliweka sh ngap?Nilifungua account UTT na M-Wekeza kote nikaweka kiwango sawa cha uwekezaji. UTT nilifungua Liquid. Baada ya mwezi M-Wekeza nilipata faida ya 42,000 na UTT nilipata 11,000.
Hapo itakuwa milion 4uliweka sh ngap?
Kwenye bonds hasara kubwa au kupoteza mtaji vinatokeaje mkùu?Kwa bado ni kijana below 45 go for DSE nunua hisa za CRDB, Afriprise, Nicol and NMB but if you are above 45 go for UTT. Why nasema hivi? Hisa zina tabia ya kufluctuate sana…… unaweza kupata faida sana kuliko UTT na Bonds ila sometimes unaweza pata hasara kubwa au kupoteza mtaji. UTT ni sehemu isiyo na mawimbi makubwa so kama ni mtu usiyependa kashikashi go for it ila faida ni ndogo ~12% per year. Chaguo ni lako
Five rules for successful stock investing - Pat DorseyNje ya mada mkuu, unaweza kuni recommend nisome vitabu gani ili nipate uelewa zaidi juu ya uwekezaji hass katika masoko ya Hisa kama DSE. Kutokana na Jibu lako nahisi unaweza kuwa na uelewa wa haya mambo. Asante.
Yule mzee yuko vzr.Me nataka nijilipue na CRDB Hisa zao ziko vzr.Five rules for successful stock investing - Pat Dorsey
Just keep buying - Nick Migguel
Pia mfuatilie mtaalamu anaitwa Emillian Busara kuna mafundisho yake mengi youtube pia kuna vitabu ameandika