Nilifungua account UTT na M-Wekeza kote nikaweka kiwango sawa cha uwekezaji. UTT nilifungua Liquid. Baada ya mwezi M-Wekeza nilipata faida ya 42,000 na UTT nilipata 11,000.
M wekeza nayo Ina compound interestMwezi mmoja hautoshi kufanya tatmnini angalau mwaka mmoja ambapo kivyovyote nilazima UTT iwe juu kutokana na compound interest ya kila.siku
Mkuu kusema mwezi hautoshi kwa tathmini sio sawa, maana malengo huwa na ukomo wa muda.Mwezi mmoja hautoshi kufanya tatmnini angalau mwaka mmoja ambapo kivyovyote nilazima UTT iwe juu kutokana na compound interest ya kila.siku
Hii mifuko mwezi mmoja hautoshi kutoa tatmnini hii nikwasababu thamani ya mfuko inaweza kupanda au kushuka katika mwezi husika. Na kutofautiana mwezi unaofuata. Letsay mwezi huu UTT faida ilikuwa 0.70 , wakati m-wekeza ilikuwa 0.75, mwezi ujao UTT inaweza kuwa 0.80 wakati M-wekeza 1.0 ,, hii mifuko mwishoni wa mwaka huwa na wastani wa 12% au 13 hii haina maana kuwa miezi yote italingana faida. Pia ndani ya mwezi huwezi kuona faida ya compound interest hivyo nisahihi kusema kuwa Mwezi mmoja hautoshi kutoa tatminiMkuu kusema mwezi hautoshi kwa tathmini sio sawa, maana malengo huwa na ukomo wa muda.
Mtu ana malengo ya mwezi ukimpa ayatimize kwa mwaka unamchelewesha.
Kwa hitimisho labda wewe ambae uliwekeza kote kwa kiasi sawa kwa mwaka mzima utupe tathmini ila kwa muda wa mwezi jamaa katoa hiyo ambayo naona kwa yeye yuko sahihi kusema hivyo.
Haina compound interest ya kila siku. Faida unayopata itawekwa kwenye account yako baada ya mwezi ma siku kama 4 hivi ndio faida itajumuishwa kwatika mtaji ili nayo ianze kutengeneza faidaM wekeza nayo Ina compound interest
Nimekupata, kwa maana hiyo jamaa alipata bahati M wekeza kwa mwezi husika?Hii mifuko mwezi mmoja hautoshi kutoa tatmnini hii nikwasababu thamani ya mfuko inaweza kupanda au kushuka katika mwezi husika. Na kutofautiana mwezi unaofuata. Letsay mwezi huu UTT faida ilikuwa 0.70 , wakati m-wekeza ilikuwa 0.75, mwezi ujao UTT inaweza kuwa 0.80 wakati M-wekeza 1.0 ,, hii mifuko mwishoni wa mwaka huwa na wastani wa 12% au 13 hii haina maana kuwa miezi yote italingana faida. Pia ndani ya mwezi huwezi kuona faida ya compound interest hivyo nisahihi kusema kuwa Mwezi mmoja hautoshi kutoa tatmini
Hatuwezi kusema moja kwa moja nibahati lakini hii mifuko huwa inashuka na kupanda kila siku kulingana na hali ya soko. Baadaye tunapata wastani wa mfuko husika kwa mwakaNimekupata, kwa maana hiyo jamaa alipata bahati M wekeza kwa mwezi husika?
Halafu nilikua nauliza kuhusu hiyo compound interest kama Kwa mfano mwaka unachukua milion 1 kutokana na uwekezaji wako kwahiyo faida ya Kila mwezi ikiwa inajumuishwa kwenye uwekezaji inaweza kuzidi m 1 tofauti na hesabu ya kikokotoo Chao au kikokotoo huwa kinahesabia Hadi hizi compound interestHaina compound interest ya kila siku. Faida unayopata itawekwa kwenye account yako baada ya mwezi ma siku kama 4 hivi ndio faida itajumuishwa kwatika mtaji ili nayo ianze kutengeneza faida
UTT mfuko wa liquid compound interest nikila siku mfano leo umepata faida ya 50,000 kesho hiyo elfu hamsini uliyopata leo pamoja na mtaji wako vitatengeneza faidaHalafu nilikua nauliza kuhusu hiyo compound interest kama Kwa mfano mwaka unachukua milion 1 kutokana na uwekezaji wako kwahiyo faida ya Kila mwezi ikiwa inajumuishwa kwenye uwekezaji inaweza kuzidi m 1 tofauti na hesabu ya kikokotoo Chao au kikokotoo huwa kinahesabia Hadi hizi compound interest
Ndio. Tatizo nikwenye compound interestM wekeza wako vizuri View attachment 3438343
Wanacompound interest pia.Ndio. Tatizo nikwenye compound interest
Hujanielewa ni huvi mfano m wekeza nikaweka labda m 10 faida Kwa mwaka wakaniambia 1m je nisipoitoa hiyo m 10 Kwa mwaka na hizo compound Kwa mwezi he faida itazidi 1m au hiyo 1m wamepigia na compound interestUTT mfuko wa liquid compound interest nikila siku mfano leo umepata faida ya 50,000 kesho hiyo elfu hamsini uliyopata leo pamoja na mtaji wako vitatengeneza faida
Hiyo asilimia ni fixed? Kama ni fixed tuseme 10% ya pesa yako ilitakiwa upate faida 1,000,000 kwa mwaka kama kuna compound interest ndio pesa yako itaongezeka. Huwa kuna calculator zao ambazo zinakalculate mpaka hizo compound interestHujanielewa ni huvi mfano m wekeza nikaweka labda m 10 faida Kwa mwaka wakaniambia 1m je nisipoitoa hiyo m 10 Kwa mwaka na hizo compound Kwa mwezi he faida itazidi 1m au hiyo 1m wamepigia na compound interest
Ooh okay sawa mkuuHiyo asilimia ni fixed? Kama ni fixed tuseme 10% ya pesa yako ilitakiwa upate faida 1,000,000 kwa mwaka kama kuna compound interest ndio pesa yako itaongezeka. Huwa kuna calculator zao ambazo zinakalculate mpaka hizo compound interest
soma hiki kitabu chapters 8 hadi 10Nje ya mada mkuu, unaweza kuni recommend nisome vitabu gani ili nipate uelewa zaidi juu ya uwekezaji hass katika masoko ya Hisa kama DSE. Kutokana na Jibu lako nahisi unaweza kuwa na uelewa wa haya mambo. Asante.
Kwa uzoefu wangu haiwezi pungua 7.5mukiweka utt 20mil compound interest-after 3 yers utakuwa na ngapi kwa wanaojua?