"UTU" unavyonirudisha kwenye hatari

"UTU" unavyonirudisha kwenye hatari

Baba jayaron

JF-Expert Member
Joined
Jun 29, 2015
Posts
4,324
Reaction score
5,933
Achana kitu kinaitwa utu aiseeeeh

Pamoja na mateso yoote ya mapenzi niliyopitia lakini ngoma ya "utu" ya Ali kiba unanipeleka mbali saana kihisia

Asikwambie mtu kupenda raha saaana hasa ukimpata mwenye utu na utulivu....

Big up Ali kiba japo nimechelewa wimbo wa kitambo kidogo ila acha niseme hiii ngoma unachukulia mkopo IMF aiseeeh

Niko tayari kuumizwa tena na mapenzi japo nishakuwa sugu ila kwa ngoma hii poa tuu....

Wasalaam!!
 
IMG_20220219_211637.jpg
 
Back
Top Bottom