Zaburi 23:1Wote tuseme Amina, hakika Mungu si Athumani, hatimaye amejibu kwa haraka sana hadi inashangaza!
Wafilipi 4:4
Poleni kwa msiba πΉZaburi 23:1
"Bwana ndie mchungaji wangu sitapungukiwa na kitu"
Tunasonga mbele kwa uhakika kwasababu ya Mungu gentleman.
In fact ni kwa Neema tu hatukwami.πΉ
"Kwangu mimi kuishi ni Kristo na kufa ni faida".Poleni kwa msiba πΉ
Wahi ukatupikie chai tunakuja kuleta rambirambi..!!"Kwangu mimi kuishi ni Kristo na kufa ni faida".
Ohh hallelujah,
Glory to the Lord πΉ
Imeandikwa,Wahi ukatupikie chai tunakuja kuleta rambirambi..!!
Mtu anayelia tunamjua, kaza mwenetu huo msiba wako utalia mpaka uchoke..!!Imeandikwa,
"mwanadamu aliezaliwa na mwanamke siku zake za kuishi si nyingi tena hujaa taabu"
sasa wapiga ramli na washirikina mnaimba mapambio yenu kana kwamba kifo ni jambo geni au la kushangaza sana hali ya kua ni sehemu ya mapito ya maisha ya mwanadamu hapa duniani.
In fact,
kila mwanadamu licha ya kua mshirikina na mpiga ramli useless jukwaani, utakufa bila ya kiherehere cha alie mwingine π
Anza wewe kuthibitisha kwamba hayupo.Even a silly statement is consistent with a universe in which your God does not exist.
Thibitisha Mungu yupo.
huenda wewe na wapiga ramli na washirikina wenzio ndio mnaweza kua hamna tumaini la ufufuko na ndio maana mnaogopa kifo πMtu anayelia tunamjua, kaza mwenetu huo msiba wako utalia mpaka uchoke..!!
Chai tayari au bado huamini kama umefiwa? πΉ
Baada ya kuua watanganyika sasa ndo unajisifu eti hamkwami!Zaburi 23:1
"Bwana ndie mchungaji wangu sitapungukiwa na kitu"
Tunasonga mbele kwa uhakika kwasababu ya Mungu gentleman.
In fact ni kwa Neema tu hatukwami.πΉ
Kila nafsi itaonja umauti kwa wakati wake muafaka na bila kiherehere cha mpiga ramli, mshirikina au mtu yeyote yule mwenye mihemko au makasiriko useless jukwaani.Baada ya kuua watanganyika sasa ndo unajisifu eti hamkwami!
Songeni mbele ila mtakufa tuu kifo ni kifo hakuna nywinywi wala nywinywi.
Nimekwambia huu ni msiba wako, usiwe na haraka. Muda unao mwingi wa kulia..!!huenda wewe na wapiga ramli na washirikina wenzio ndio mnaweza kua hamna tumaini la ufufuko na ndio maana mnaogopa kifo π
Kwahiyo mnaua watu kisa kila nafsi itaonja mauti?Kila nafsi itaonja umauti kwa wakati wake muafaka na bila kiherehere cha mpiga ramli, mshirikina au mtu yeyote yule mwenye mihemko au makasiriko useless jukwaani.
waarifu na wafuata mkumbo wenzako kuhusu hili bila kificho na itapendeza zaidi gentleman π
Ni muhimu sana kufahamu kwamba,Nimekwambia huu ni msiba wako, usiwe na haraka. Muda unao mwingi wa kulia..!!
Kwa sasa andaa chai tunakuja kukupa pole, we mfiwa mbona upo kama mwali kigego? πΉ
Na mumeo unamjeuria hivi hivi?
Tuliza mku.nd.u wa abdul huo..Hivi hamjalishwa matango pori Tena na wazee wa kitengo Cha propaganda?
hiyo ni porojo ya kutafuta kiki na public sympathy gentlemanKwahiyo mnaua watu kisa kila nafsi itaonja mauti?
Ueni tuu nanyi mtakufa kumbe unalitambua hilo.