Superb2014
JF-Expert Member
- Jul 29, 2017
- 10,656
- 9,074
Hakika utukufu wa Mungu ni wa ajabu sana.
HallelujahFurahini katika bwana siku zote
AminaWote tuseme Amina, hakika Mungu si Athumani, hatimaye amejibu kwa haraka sana hadi inashangaza!
Wafilipi 4:4
Hayo ni mawazo ya family development, sio ngono. Rudi shule, warudishe na hao jamaa zako wanaokulike.Masikini wanawaza ngono tu!
Think tanks za chadema za humu zote ndo akili zao ndo zipo hivyo......Watanzania wengi akili zetu zimekaa upande upande sana, that why inakuwa rahisi kuchezewa chezewa na cheap propaganda.
Tunakulupuka kulupuka sana, mtu asiambiwe kitu bila hata kukichunguza kasharuka nacho. Mwanaharakati ambe yupo smart kichwani walau mange, mara chache sana kukuta anakulupuka na info za kuokoteza
HaipingwiDu! Naona umepanic sana. ndio hivyo sasa imeshakuwa kama hutaki mez vipande ya chupa
UmbeaKuhusu nini?
Mkuu tufarahi kwa jambo gani tenaFurahini katika bwana siku zote
Anayesema Mungu yupo ndiye mwenye mzigo wa kuthibitisha yupo.Anza wewe kuthibitisha kwamba hayupo.
Adam na Hawa huwezi kuthibitisha pia maana hukuwaona??
Unaweza kulishwa tangopori mara mbili au tatu..Hivi hamjalishwa matango pori Tena na wazee wa kitengo Cha propaganda?
Umefiwa na bibi yako? Ukimtuhumu mchawi?Mungu ni mwema
Mungu yupo kwa sababu kakuumba weye na kamuondosha bibi yako ktk dunia hii. Kama unabisha semaAnayesema Mungu yupo ndiye mwenye mzigo wa kuthibitisha yupo.
Thibitisha Mungu yupo.
Halafu thibitisha Adam na Hawa walikuwapo.
Kusema Mungu yupo kwa sababu kaniumba mimi ni logical non sequitur fallacy.Mungu yupo kwa sababu kakuumba weye na kamuondosha bibi yako ktk dunia hii. Kama unabisha sema
Aiseee!!!Confirmed!!
Uwende mirembe ukapimwe mshipa wa akili , haujaathiriwa na kinyesi?Kusema Mungu yupo kwa sababu kaniumba mimi ni logical non sequitur fallacy.
Kwa sababu hujathibitisha Mungu kaniumba mimi.
Kusema Mungu, hususan mwenye uwezo wote, ujuzi wote na upendo wote kamuondosha bibi yangu ni contradiction.
But I doubt you understand.
Ni kwa nini akujibu wewe kwa haraka na Mungu hana upendeleo? Ni huyo Mungu wa Israel? Mimi ninamtegemea Mungu anaetokana na jadi yangu.Wote tuseme Amina, hakika Mungu si Athumani, hatimaye amejibu kwa haraka sana hadi inashangaza!
Wafilipi 4:4
Amejibu, hakunijibu mimiNi kwa nini akujibu wewe kwa haraka na Mungu hana upendeleo? Ni huyo Mungu wa Israel? Mimi ninamtegemea Mungu anaetokana na jadi yangu.