Utukufu wa Mungu ni wa ajabu sana!

Think tanks za chadema za humu zote ndo akili zao ndo zipo hivyo......
 
Hivi hamjalishwa matango pori Tena na wazee wa kitengo Cha propaganda?
Unaweza kulishwa tangopori mara mbili au tatu..

Lakini ya nne, walisha matango pori hao, huyala wao wenyewe na kila kitu kinafunuka na kuwa kweli tupu..

Amedanganywa na machawa (mapepo & majini) akadanganyika, sasa amejimaliza mwenyewe..

Haleluya...!!

Shangilieni enyi mkaao katika nchi maana Mfalme wa utukufu, ametenda makuu. Amina🙏🙏🙏


View: https://youtu.be/2E38RiuC-bk?si=OVPdxsZhKWtYOQci
 
Anayesema Mungu yupo ndiye mwenye mzigo wa kuthibitisha yupo.

Thibitisha Mungu yupo.

Halafu thibitisha Adam na Hawa walikuwapo.
Mungu yupo kwa sababu kakuumba weye na kamuondosha bibi yako ktk dunia hii. Kama unabisha sema
 
Mungu yupo kwa sababu kakuumba weye na kamuondosha bibi yako ktk dunia hii. Kama unabisha sema
Kusema Mungu yupo kwa sababu kaniumba mimi ni logical non sequitur fallacy.

Kwa sababu hujathibitisha Mungu kaniumba mimi.

Kusema Mungu, hususan mwenye uwezo wote, ujuzi wote na upendo wote kamuondosha bibi yangu ni contradiction.

But I doubt you understand.
 
Uwende mirembe ukapimwe mshipa wa akili , haujaathiriwa na kinyesi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…