Mshangazi dot com
JF-Expert Member
- Nov 19, 2011
- 1,345
- 3,503
Angalia video clip
Wanaume wengi huwa wanafikiri spidi na nguvu ndiyo muhimu zaidi kwenye kupata mafanikio. Ila tunakumbishwa utulivu na mbinu zisizotetereshwa na kelele za watu ni moja kati ya siri kuu.
Dakika za mwanzoni, ilionekana kama mvulana atashinda kwasababu ya uwezo wake wa kukimbia, ila matokeo hayakua hivyo.
Tafakuri:
Binafsi hii clip imenikumbusha kuwa hata kwenye familia tunahitajiana, kwa sababu tuna akili, mitazamo na uwezo tofauti. Unamuhitaji mama/mwanamke ambaye ateleta maono, utulivu na mipangilio thabiti isiyoyumbishwa ili mfikie malengo. Ila yanaweza kutotimia bila nguvu na spidi ya mwanaume katika utafutaji na usimamizi📌.