Utumbo mpana kuwa mrefu kupita kiasi (dolichocolon)

Mtafiti77

JF-Expert Member
Joined
Oct 31, 2011
Posts
1,877
Reaction score
2,314
Hello wanafamilia,

Nimebainika kuwa na tatizo tajwa hapo juu. Hii ni baada ya kuteseka kwa muda mrefu kwa ukavu wa choo, constipation.
Katika medicine, tatizo linapokuwa sugu na hatarishi,dawa ni upasuaji unaohusisha kuukata/kuupunguza utumbo. Ninaomba uzoefu kwa mlioona ,kusikia au kupitia ugonjwa na tiba hii. Mazuri na changamoto zake ni zipi ili kujiandaa kisaikolojia?

Asante
 
Nipe namba nikuanganishe na mtu aliyefanya hii operation akupe mawili matatu
 
Huku nilipo nipo na mabingwa wa fani hiyohiyo. Hapa nilitaka kupata uzoefu kutoka kwa watu waliopitia hali hii.
 
Back
Top Bottom