Vhagar
JF-Expert Member
- Jun 8, 2015
- 20,550
- 39,949
Yaani nimejaribu kupekuwa simu nyingi kwa kina nakuta inaonyesha. Simu hata iwe na ram kubwa vipi. Yaani tunapewa ℅ kama 30 tu. Nyingine inatumiwa na system. Hii imekaaje yaani app zinatumia 30℅ tu. Hata simu iwe na ram gb ngapi. Yaani haizidi 30℅ kwa mtumiaji.
Hatupewi uwezo wa kutumia ram yote.
Hii imekaaje Chief-Mkwawa Au mimi ndio sijaelewa embu nieleweshwe.
Hatupewi uwezo wa kutumia ram yote.
Hii imekaaje Chief-Mkwawa Au mimi ndio sijaelewa embu nieleweshwe.