Tetesi:  Utumikaji wa ram za simu.

Tetesi:  Utumikaji wa ram za simu.

Harafu instant app. Huwa inahusu nini naona huwa inajidownload mara kwa mara.
Mkuu unaweza ukaenda playstore search "instant app example" utapata idea ya instant app. Ni apps fulani ambazo ni web based vitu vinakaa online na sio kwenye simu yako. Nafikiri hio inayo ji update ni engine yake.
 
Usifute mkuu, hio webview inatumika na apps pale zinapofungua webpages ndani ya app bila kutumia browser, ukiitoa utaharibu compability ya apps nyingi na nyengine zinaweza zisifunguke kabisa.

Na trusted credentials nafikiri ni mambo ya certificate, inaangalia mambo ya usalama vitu kama vpn na networks mbalimbali. Ukizifuta pia inaweza sababisha matatizo kwenye networks mbalimbali.

Kifupi system apps achana nazo.
kuna baadhi nimeya disable sioni umuhimu wake.
1086509
 
Back
Top Bottom