Usifute mkuu, hio webview inatumika na apps pale zinapofungua webpages ndani ya app bila kutumia browser, ukiitoa utaharibu compability ya apps nyingi na nyengine zinaweza zisifunguke kabisa.
Na trusted credentials nafikiri ni mambo ya certificate, inaangalia mambo ya usalama vitu kama vpn na networks mbalimbali. Ukizifuta pia inaweza sababisha matatizo kwenye networks mbalimbali.
Kifupi system apps achana nazo.