Moto wa Utumishi Girls Academy unaendelea kuzua maswali mengi baada ya mahakama ya Naivasha kuhamisha kesi hiyo kwenda Nairobi. Wanafunzi 8 sasa wanatarajiwa kushtakiwa kwa makosa 16 ya murder kila mmoja kufuatia moto uliosababisha vifo vya wanafunzi 16 na kujeruhi wengine 79.
Prosecution ilisema kuwa kuna security concerns na public hostility ambazo zinaweza kuhatarisha usalama wa washukiwa ikiwa kesi itaendelea kusikizwa Naivasha. Mahakama ikakubaliana na ombi hilo na kuagiza wanafunzi hao wahamishiwe Nairobi Children's Remand Home, Kabete, wakisubiri plea taking Juni 26.
Wakati huo huo, mwanafunzi wa tisa aliachiliwa huru baada ya DPP kusema ushahidi uliokusanywa haukumhusisha moja kwa moja na tukio hilo.
Investigations za DCI zilitegemea witness statements, confessions na CCTV footage katika kuunganisha washukiwa na moto huo wa kutisha.
Soma Pia: 9 Utumishi Girls Students to Face 16 Murder Charges Over Dormitory Fire That Killed 16 Learners
Je, haki itapatikana kwa familia za wanafunzi 16 waliopoteza maisha yao? Maoni yako ni yapi kuhusu hatua ya kuhamisha kesi Nairobi?
Source: eastleighvoice.co.ke