Utumishi, hiyo format ya kuandika namba ya Kidato cha nne na Sita ni ipi?

dennoo_appliances

Senior Member
Joined
Nov 28, 2018
Posts
136
Reaction score
192
Msaada hio formatt ya kuandika namba ya kidato Cha nne na sita ni ipi kwa anayejua kupitia Utumishi, nimeandika kawaida (SXX/XXX) imegoma, wanasema ni (SXX - XXX) nimeweka hiyo - imegoma
 
Fine,
Kama Shule yako ina number 3 (say 101) anza na 0 mwanzo iwe 0101. Jaribu hii ulete mrejesho. Na hata number yako pia ifanye ziwe nne.

Labda ni 111 iwe 0111, kwa hiyo jumla iwe S0101-0111
 
Back
Top Bottom