Utumishi Kazi imewashinda

Utumishi Kazi imewashinda

October 2pm

Senior Member
Joined
May 2, 2023
Posts
106
Reaction score
282
Tusichoshane..

Hawa utumishi Kazi imeshawashinda, nao wanahitaji kufanyiwa interview. Kada ya afya tangu wafanye usahili Mwezi Sasa unaisha. Waalimu tangu waaplai Mwezi na nusu Sasa. Kada zingine nazo vivyohivyo. Kama hamuwezi Kazi Wapewe Wengine wafanye hiyo Kazi maana ninyi NI kama imewashinda. Mnachosha Vijana. Utaratibu mbovu
 
Acha kukurupuka mkuu! Kuna watu wanaply wanasubiri mpaka miez 5 wewe hiyo miez miwili tu unalalalmika unajua reason behind???? Hebu tuwaache utumishi wafanye kazi yao! Sio nyie peke yenu mliomba kazi kuna mpaka halmashauri mbalimbali sasaiv zipo kwenye saili za watumishi wapya! Hivyo kuwa na subira
 
Wewe kama unaona Kawaida ishu ya usaili kuchukua zaidi ya miezi miwili mpaka mitano utakuwa na matatizo ya Akili
 
Kuna kada walikaa miaka miwili baada ya usaili mwaka 2004 mwezi Aprili wakaitwa kazini Julai 2006.Muwe wapole watoto wetu tunawaandalia vigoda mje mkalie.
 
e0fc7316-979c-4588-ab09-c59ad80961c3.jpeg
 
Tusichoshane..

Hawa utumishi Kazi imeshawashinda, nao wanahitaji kufanyiwa interview. Kada ya afya tangu wafanye usahili Mwezi Sasa unaisha. Waalimu tangu waaplai Mwezi na nusu Sasa. Kada zingine nazo vivyohivyo. Kama hamuwezi Kazi Wapewe Wengine wafanye hiyo Kazi maana ninyi NI kama imewashinda. Mnachosha Vijana. Utaratibu mbovu
Kile ni kichaka kingine cha urasmu wa ajira;
Pale ndipo wakubwa wanaacha vimemo vya maelekezo kuhusu ajira kwa watu wao, nadhani ni kama ilikuwa centralized ili kunufaisha baadhi ya watu. Ile system inafanya baadhi ya mambo including restrictions kwenye application kama huja meet vigezo na deadline lkn baada ya hapo ni binadamu mwenye utashi wa kibadamu ndiye anafanya mengine. Hapo ndipo sitofahamu huanzia.
 
Sema ni sahihi kulalamika maana baada ya interview walisema baada ya week 3 wanatoa PDF na week 3 zimeisha mimi naona mleta mada anahaki ya kulalamika
 
Hao jamaa wanapenda kunyenyekewa. Endelea tu kuwa mpole jobless mwenzangu
 
Aisee Dunia kazi kweli kweli. Kila mahala kina wavurugaji na wachafuaji. Kama mtu anaweza kwenda kanisani au msikitini sio kuswali au kwenda kuabudu Bali kuvuruga wahusika je SI zaidi Sana Utumishi wa umma? Hapo ndipo pa kuzingatia sheria bila ya kuangalia ni Kijana wa nani. Mkisimamia hivyo hamtolaumika.
 
Back
Top Bottom