October 2pm
Senior Member
- May 2, 2023
- 106
- 282
Acha kukurupuka mkuu! Kuna watu wanaply wanasubiri mpaka miez 5 wewe hiyo miez miwili tu unalalalmika unajua reason behind???? Hebu tuwaache utumishi wafanye kazi yao! Sio nyie peke yenu mliomba kazi kuna mpaka halmashauri mbalimbali sasaiv zipo kwenye saili za watumishi wapya! Hivyo kuwa na subira
Tangazo limekaa kibabe
Kile ni kichaka kingine cha urasmu wa ajira;Tusichoshane..
Hawa utumishi Kazi imeshawashinda, nao wanahitaji kufanyiwa interview. Kada ya afya tangu wafanye usahili Mwezi Sasa unaisha. Waalimu tangu waaplai Mwezi na nusu Sasa. Kada zingine nazo vivyohivyo. Kama hamuwezi Kazi Wapewe Wengine wafanye hiyo Kazi maana ninyi NI kama imewashinda. Mnachosha Vijana. Utaratibu mbovu
🙂 sawa mkuuKuna kada walikaa miaka miwili baada ya usaili mwaka 2004 mwezi Aprili wakaitwa kazini Julai 2006.Muwe wapole watoto wetu tunawaandalia vigoda mje mkalie.
Asante sana muheshimiwa.🙂 sawa mkuu
Aisee Dunia kazi kweli kweli. Kila mahala kina wavurugaji na wachafuaji. Kama mtu anaweza kwenda kanisani au msikitini sio kuswali au kwenda kuabudu Bali kuvuruga wahusika je SI zaidi Sana Utumishi wa umma? Hapo ndipo pa kuzingatia sheria bila ya kuangalia ni Kijana wa nani. Mkisimamia hivyo hamtolaumika.