Utumishi mko wapi nane nane?.

Messenger RNA

JF-Expert Member
Joined
Jul 24, 2022
Posts
1,411
Reaction score
3,712
Hawa utumishi ndio ilikuwa fursa ya kutatua changamoto za vijana kwenye mfumo uombaji wa ajira kwa kanda zote kipindi hiki cha nane nane kupunguza usumbufu wanaopata vijana,cha ajabu tafuta huwaoni hasa kanda ya nyanda za juu kusini inayofanyika mbeya wenzenu karibia wote wapo. ninyi mnakwama wapi?
 

Tupo hapa vipi Hamia Sahani Sururu anasemaje amepata choo ale mapapai.
 

Attachments

  • 808c81fb_z.jpg
    92 KB · Views: 14
Hivi nane nane si ni ya wakulima? Au nao pia ni watumishi wanaohitaji changamoto zao kusikilizwa? Pale taasisi hazina lolote zaidi ya kujitangaza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…