Clark boots
JF-Expert Member
- Jun 5, 2017
- 6,770
- 6,202
Wadau, hawa Utumishi wa Umma siwaelewi, unakuta Siku wanatangaza placements za watu kuingia kazini huku wakisema kuwa haya majina yanatokana na watu waliofanya usaili hv karibuni na wa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yaaah, mkuu nashukuru umenielewa vizuri na hii ndo kitu me napinga kabisa.. Zikitoka ajira hats kama ni post 1 sijui kuna mwajiriwa gani kafariki huko, sijui kaacha kazi basi watangaze hyohyo so mambo za kazi dataDatabase ni uhuni wa kuingiza watoto wao kwenye mfumo wa ajira ifutwe tu mtu akikosa aanze upya
Chukulia mfano mzinga wametoa nafasi moja, ya diploma in mechanical, na wakatitwa 40 kufanyiwa usaili na 5 wameonekana kufanya vizuri sana let say 90%+ na hapo hapo Tamesa wanataka nafasi 4, ambazo qualification is just the same na mzinga, kuna haja ya kuita tena usaili wakati kuna watu tiyari wana vigezo hivyo na walishapitia saili zote!!Yaaah, mkuu nashukuru umenielewa vizuri na hii ndo kitu me napinga kabisa.. Zikitoka ajira hats kama ni post 1 sijui kuna mwajiriwa gani kafariki huko, sijui kaacha kazi basi watangaze hyohyo so mambo za
Huwezi kueleweka kama hata hujui kuandika kanzi dataWadau, hawa Utumishi wa Umma siwaelewi, unakuta Siku wanatangaza placements za watu kuingia kazini huku wakisema kuwa haya majina yanatokana na watu waliofanya usaili hv karibuni na wale waliopo kwenye kazi data.
Sasa kitu kinachinikera hawa jamaa wanapata vibali vya ajira alafu hawatangazi, huwa wanachomoa watu wao kusingizia walikuwa kwenye kazi data.
Unakuta maafisa kilimo zaidi ya 5 wamepangiwa ajira hali ya kuwa ajira(Posts) hazikutangazwa, huu ni mwanzo wa uhujumu wa ajira kwa watanzania. Obviously kuna vijana kibao wanamaliza diploma na degree zao, nao wanapenda Siku moja wasikie utumishi mumetangaza ajira japo 2 ili wagombanie sasa nyie hamtangazi ajira mnaleta mambo zenu ya kazi data sijui. Ni uongo tu hakuna cha kazi data wala nn, hizi ajira mnapangiana tu wenyewe.
Nimeona hii issue Mara nyingi Ila leo nimeamua kuwatolea uvivu. Tunaka iwe hivi; kama Ajira zimetoka hata kama ni Post moja mtfani upande wa kilimo basi tangazeni ajira ili vijana tuombe, kila Sik watu wanamaliza vyuo na wanahitaji wajaribu bahati zao hayo mambo ya kazi data hatuyataki.
Tena faculty ya KILIMO NA MIFUGO mnazingua sana.
Huna mpya ww, nakuomba ukaendelee kunyonya kwa mama wakoHuwezi kueleweka kama hata hujui kuandika kanzi data
Mzee kufika Oral sio mchezo. Nadhani wadhibiti tu hiyo hali, kwa maana kama watu wapo wanapita njia hizo no way wala hamna utaratibu wa kuwazuia so waamue tu kuwa waaminifu. Stop.Database ni uhuni wa kuingiza watoto wao kwenye mfumo wa ajira ifutwe tu mtu akikosa aanze upya
naomba kuuliza hiv ni kwa namna gan mtu unaweza kufahamu kwamba umewekwa kwenye kanzidata baada ya kufanya usahili na kukosa nafas za mwanzoSio kweli kuna watu mm nawafahamu wengi waliofanya interview baada ya miezi 6 na kuendelea wameitwa kazini, mm nina ndugu yangu alifanya usaili kada ya umeme ( Electrical Technician,) kwenye zile za system operator walitangaza nafasi 8 kwenye system operator na nafasi 25 kwenye electrical technician , ndugu yangu hakufaulu kuitwa kazini lakini baada ya mwaka mmoja aliitwa kazini!! Na leo yupo kazini, na wengine wameitwa wengi tu brother ambao walikuwa kazidata , hivyo usibeze kwa hoja yako nyepesi, kwa hiyo wewe ungekuepo kwenye hiyo nafasi ungeshindwa kumwingiza mtoto wako???
Kama mtu ana nia ya kumpa mtoto wake kazi au ndugu yake kazi sio mpaka aseme tumetoa kazidata ni swala la kumpa hata majibu tu na anafaulu usaili!!
Unatakiwa ujue hapa duniani hamna haki kikubwa wewe ishi kwa imani sio kulalamika, hata hizo nafasi za TRA kama ndugu zao wapo watapewa tu, lakini haziwezi kuwa zote, wewe gombania hizo chache !
Watanzania ni watu wa kulaumu kila kitu, na ukweli wanaujua, hivyi hata kama ni wewe ndo unaajiri mtoto wako atakosa Ajira?????? Kwa hiyo wewe aamini hiyo kazi data kuna watu wamepata kazi kupitia humo usiseme waitoe, yaani kwa sababu hawajakuita ndo useme iondolewe??? Isitoshe wanaopata Ajira humo ni watanzania tuache wivu!!!!
Mnapofika kwenye hatua ya oral interview huwa wanawaambia kabisa, kwamba ukipata kuanzia let say 80% utawekwa database yao!!naomba kuuliza hiv ni kwa namna gan mtu unaweza kufahamu kwamba umewekwa kwenye kanzidata baada ya kufanya usahili na kukosa nafas za mwanzo
Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
anhaa ok kwahyo wanaofail hatua ya oral huwa wanatoka wameshajua na wanaofaulu hatua hiyo wanakuwa washafahamishwa tayar kwamba wapo kanzidataMnapofika kwenye hatua ya oral interview huwa wanawaambia kabisa, kwamba ukipata kuanzia let say 80% utawekwa database yao!!
Hebu tusubiri ajibu hili swali,,anhaa ok kwahyo wanaofail hatua ya oral huwa wanatoka wameshajua na wanaofaulu hatua hiyo wanakuwa washafahamishwa tayar kwamba wapo kanzidata
Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
Asee yawezekana lakini sio ukweli asilimia zote naweza toa ushuhuda kuna wana wametoka kanzi data kwenye placement hii kama watatu na walifanya interview nyuma kidogoWadau, hawa Utumishi wa Umma siwaelewi, unakuta Siku wanatangaza placements za watu kuingia kazini huku wakisema kuwa haya majina yanatokana na watu waliofanya usaili hv karibuni na wale waliopo kwenye kazi data.
Sasa kitu kinachinikera hawa jamaa wanapata vibali vya ajira alafu hawatangazi, huwa wanachomoa watu wao kusingizia walikuwa kwenye kazi data.
Unakuta maafisa kilimo zaidi ya 5 wamepangiwa ajira hali ya kuwa ajira(Posts) hazikutangazwa, huu ni mwanzo wa uhujumu wa ajira kwa watanzania. Obviously kuna vijana kibao wanamaliza diploma na degree zao, nao wanapenda Siku moja wasikie utumishi mumetangaza ajira japo 2 ili wagombanie sasa nyie hamtangazi ajira mnaleta mambo zenu ya kazi data sijui. Ni uongo tu hakuna cha kazi data wala nn, hizi ajira mnapangiana tu wenyewe.
Nimeona hii issue Mara nyingi Ila leo nimeamua kuwatolea uvivu. Tunaka iwe hivi; kama Ajira zimetoka hata kama ni Post moja mtfani upande wa kilimo basi tangazeni ajira ili vijana tuombe, kila Sik watu wanamaliza vyuo na wanahitaji wajaribu bahati zao hayo mambo ya kazi data hatuyataki.
Tena faculty ya KILIMO NA MIFUGO mnazingua sana.
NILIINGIZWA KUTOKA KWENYE DATABASE NA WALA SIMJUI MTU UTUMISHIDatabase ni uhuni wa kuingiza watoto wao kwenye mfumo wa ajira ifutwe tu mtu akikosa aanze upya
kanzi data ni ya ukweli na ni utaratibu mzuri sanaAsee yawezekana lakini sio ukweli asilimia zote naweza toa ushuhuda kuna wana wametoka kanzi data kwenye placement hii kama watatu na walifanya interview nyuma kidogo
Mkuu, Jitahid uwe unaanza maandalizi mapema. Ukiwa unasubir had watoe shortlist utakuwa na muda mchache wa kujiandaa na utakuwa unaishia kulaumu bure. Pambana had ufike hatua ya mwisho Oral Interview na Jitahid kujibu kwa usahihi maswali yao. Amin utafanikiwa hata kupitia Kanzi data.Database ni uhuni wa kuingiza watoto wao kwenye mfumo wa ajira ifutwe tu mtu akikosa aanze upya