Tajirimsomi
JF-Expert Member
- Jan 12, 2017
- 4,824
- 5,587
Mi juzi allihamisi kuna mshikaji wangu kaitwa idara ya maji kutoka kazi data interview kafanya mwaka na nusu ulopita pia tuna kama mwezi kaletwa mtu wa masoko ofisimi in the same way
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama uko utumishi, naomba niwatukane kwamba wanafanya mambo ya kishenz! Hawana weledi na sasa tumeona dalili za kuchezea mfumo wa online application. wanaingiza watu wanaowataka na kuzuia wanaostahili kusailiwa.Chukulia mfano mzinga wametoa nafasi moja, ya diploma in mechanical, na wakatitwa 40 kufanyiwa usaili na 5 wameonekana kufanya vizuri sana let say 90%+ na hapo hapo Tamesa wanataka nafasi 4, ambazo qualification is just the same na mzinga, kuna haja ya kuita tena usaili wakati kuna watu tiyari wana vigezo hivyo na walishapitia saili zote!!
Wewe unafikiri mtu kutoka kigoma kwenda dar es salaam kwa nafasi moja ni kitu chepesi???? Watanzania tuwe wazalendo,
Jambo usilolijua ni kama usiku wa giza
Inaitwa kanzi data (database). Waliowekwa kwenye kanzi data ni vijana wa kitanzania waliofanya usahili wakafanya vizuri ila hawakuitwa kazini kwa sababu ya ufinyu wa nafasi.Wadau, hawa Utumishi wa Umma siwaelewi, unakuta Siku wanatangaza placements za watu kuingia kazini huku wakisema kuwa haya majina yanatokana na watu waliofanya usaili hv karibuni na wale waliopo kwenye kazi data.
Sasa kitu kinachinikera hawa jamaa wanapata vibali vya ajira alafu hawatangazi, huwa wanachomoa watu wao kusingizia walikuwa kwenye kazi data.
Unakuta maafisa kilimo zaidi ya 5 wamepangiwa ajira hali ya kuwa ajira(Posts) hazikutangazwa, huu ni mwanzo wa uhujumu wa ajira kwa watanzania. Obviously kuna vijana kibao wanamaliza diploma na degree zao, nao wanapenda Siku moja wasikie utumishi mumetangaza ajira japo 2 ili wagombanie sasa nyie hamtangazi ajira mnaleta mambo zenu ya kazi data sijui. Ni uongo tu hakuna cha kazi data wala nn, hizi ajira mnapangiana tu wenyewe.
Nimeona hii issue Mara nyingi Ila leo nimeamua kuwatolea uvivu. Tunaka iwe hivi; kama Ajira zimetoka hata kama ni Post moja mtfani upande wa kilimo basi tangazeni ajira ili vijana tuombe, kila Sik watu wanamaliza vyuo na wanahitaji wajaribu bahati zao hayo mambo ya kazi data hatuyataki.
Tena faculty ya KILIMO NA MIFUGO mnazingua sana.
huenda account yako ajira portal hujai update mahali fulani. endapo utaona tangazo unalo fit kwa vigezo nitafute then nitakuambia ni nini shida na tutaitatua pamoja hivyo system itakurihusu ku apply.Hongereni sana mliofanikiwa kazi kupitia utumishi. Wengine tulishawahi kuomba utumishi na kuitwa kwenye interview karibia mara nne. Baada ya kuboresha mfumo wao maboresho na maboresho ikawa unaona tangazo na sifa zote unazo lkn kila ukituma inagoma. Imekuwa hivyo na kujaribu takriban mara 40 kwa miaka kadhaa hadi sasa tumeamua kuacha kabisa ku apply na kujichuja wenyewe kuwa kazi utumishi kuaaply basi tena labla kwenye ma NGO
Hiki ulichosema mpendwa sidhani kama ni sahihi, kuna watu nawafahamu hawafahamiani na yeyote utumishi wameajiriwa kwa kanzi data, kanzi data ni sahihi na kuna watu (wa kawaida kabisa wanaajiriwa)Wadau, hawa Utumishi wa Umma siwaelewi, unakuta Siku wanatangaza placements za watu kuingia kazini huku wakisema kuwa haya majina yanatokana na watu waliofanya usaili hv karibuni na wale waliopo kwenye kazi data.
Sasa kitu kinachinikera hawa jamaa wanapata vibali vya ajira alafu hawatangazi, huwa wanachomoa watu wao kusingizia walikuwa kwenye kazi data.
Unakuta maafisa kilimo zaidi ya 5 wamepangiwa ajira hali ya kuwa ajira(Posts) hazikutangazwa, huu ni mwanzo wa uhujumu wa ajira kwa watanzania. Obviously kuna vijana kibao wanamaliza diploma na degree zao, nao wanapenda Siku moja wasikie utumishi mumetangaza ajira japo 2 ili wagombanie sasa nyie hamtangazi ajira mnaleta mambo zenu ya kazi data sijui. Ni uongo tu hakuna cha kazi data wala nn, hizi ajira mnapangiana tu wenyewe.
Nimeona hii issue Mara nyingi Ila leo nimeamua kuwatolea uvivu. Tunaka iwe hivi; kama Ajira zimetoka hata kama ni Post moja mtfani upande wa kilimo basi tangazeni ajira ili vijana tuombe, kila Sik watu wanamaliza vyuo na wanahitaji wajaribu bahati zao hayo mambo ya kazi data hatuyataki.
Tena faculty ya KILIMO NA MIFUGO mnazingua sana.
Sasa mkuu KINACHONIUZI hawa utumishi Kila placement za ajira unakuta kada Fulani lazima waajiri watu.. Sasa kwann kama nafasi zinakuwepo hawatoi nafasi za kuomba ili na sisi tusiokuwa kwenye data base tuwepo pia...?Hiki ulichosema mpendwa sidhani kama ni sahihi, kuna watu nawafahamu hawafahamiani na yeyote utumishi wameajiriwa kwa kanzi data, kanzi data ni sahihi na kuna watu (wa kawaida kabisa wanaajiriwa)