UTUMISHI: Tabia ya kutoa tangazo halafu mnaita watu kwenye usahili baada ya miezi tisa mkome.

Hahaha I'm sure wamesikia πŸ˜„ πŸ˜„ 😊 😊 utumishi mpeni kazi El marabiosh ni engineer

Aisee enzi nakua nilikua naona bonge ya kozi bora usome community development sio hiyo pole mkuu

Nusu nijichanganye kusoma hii.
 
🀣 🀣 sio kozi hii ndugu yangu kwa Tz
 
. Wanakupa na mda wa kujiandaa....

. Neno "mkome" inabidi ukandwe kisawasawa na utumishi ili uwe na heshima..πŸ™‚
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…