A
Anonymous
Guest
Kuhusiana na changamoto yao kwenye mfumo wa Ajira Portal.
Hii course Tanzania inatolewa CHUO CHA USHIRIKA KIKO MOSHI tu. Kwenye mfumo wa Ajira Portal haijapewa kipaumbele kwenye course za finance.
Yaani mpaka kazi za benki, uhasibu inakataa, mpaka kazi za afisa mikopo ambayo ndio ubobezi wake haswa inakataa.
Kuna jopo la wahitimu wa hiyo course wako mtaani kwa kukosa Ajira. Mfano kazi zilizotangazwa na BOT karibu asilimia 80% ziliwafaa lakini hakuna ilikubali hata moja. Uki apply kila kazi tena ambayo unaona ilistahili kuwa kimbilio inaandika FAILED.
Kazi za finance zote hii course inafaa kuwa included. Tumeenda mpaka chuo nako msaada umekosa. Wanafunzi tuliohitimu tumeandaa petition ya kufikisha malalamiko yetu kwa wizara husika ila bado tuu hatujasaidiwa kitu.
Msaada ili warekebishe mifumo yao upande huo.