Utumwa: Je, Waafrika walionufaika na biashara ya utumwa wanapaswa kulaumiwa?

Utumwa: Je, Waafrika walionufaika na biashara ya utumwa wanapaswa kulaumiwa?

Hebu tulia kwanza ueleze hilo ulilokusudia kwa ufasaha. Hata kujieleza unashindwa halafu unaita wenzako wajinga! Ama kweli dunia ina mambo.
yameniponyoka Mkuu si unajua nina domo kubwa sana km bakuli!! wkt mwingine nikisha ona mtu haelewi!! hasa muafrica ndo km ivi!...ana bahati yuko mbali yaani angekuwa karibu huenda tungekuwa polisi saa hizi!
 
Umeniambia nifunguke lakini kwa bahati mbaya sijakuelewa hata hicho unachozungumzia ni kipi.
Huamini kwamba waafrika nao walishiriki kuwakamata wenzao na kuwauza utumwa au nini?
Mkuu navojua mie Kwa muktadha wa leo!! utaona ivo kuwa na waafrica walishiriki! tena vizuri tu, lkn kuna mengi yaliyo fichika humo!! hasa yakishadadiwa na wazungu! mfano ;; kutoa namna nzuri ya kukamata watumwa,

unafiki na chonganishi baina ya falme na falme!! ilikuwa kazi ya wazungu, km ilivo!! ethiopia,Somalia Sudan ya leo zile ni matokeo ya fitna za wazungu!! hayo yalianza tangu zama!!

lkn tunaandika na tutaandika wajukuu zetu waone! waanzie wapi! na wazungu walivo wakiona hivi wanakuua! kwa hiyo tunapenyeza habari kidodgo kidogo km hivi, prince katega kaponea chupu chupu mara 11!

watawala weusi walipewa vifaa km Bunduku , mizinga nyavu ngumu, kuchonganisha vita, baina ya tawala mbili! ni km ilivo leo RENAMO ilipewa siraha na wazungu kusakama serkali ya Samora,

nani anafadhiri leo Al-shaabab? ? hkn mwafrica tajiri anaeweza fanya haya akaishi! kwanza atafilisika faster! so zamani hizo Mateka waliuzwa kwa wazungu wanunua watumwa huko pwani asinge kuwamzungu biashara ingedoda. lkn kabla ya mzungu walikuwa wanarudishwa kwa maridhiano au wanakuwa sehemu ya ufalme ulio shinda!

ni km walivyo mtengeneza Idd amini maksudi, ili kuua jumuiya ya EA, ....angalia walivo mtengeneza savimbi kuidhoofisha ANgola, Mobutu seseseko! na sasa Sudani ya kusini imeundwa na USA Ile maksudi tu wapate wese, nk,

wengi weusi mpaka leo hawalijui hili. wanajua tu savimbi alitaka madaraka, je vizazi vijavyo je? si ndo kabisa? kwa hili nasema wazungu watulipe mapesa wapende wasipende!! wanajidanganya tu!

wao waache waje kwa njia ya misaada! lkn vimisaada hivi wanavyotoa hatuta vitambua km fidia wkt ujao!! bali tuta taka fidia nono walipe tu!!
 
Back
Top Bottom