Utumwa wa dini ni tatizo kwa Waafrika

Utumwa wa dini ni tatizo kwa Waafrika

Kaka mkubwa umeshawahi kutambua umuhimu wa dini ?

Je ushawahi kujiuliza kielimu ni yapi malengo ya dini ?

Kaka unaposema wazungu wanawacheka,huu ni ujinga uliopea kabisa,inaonekana kwako wewe wazungu ndio kipimo cha ustaarabu na kuelimika,hali ya kuwa ukweli wa mambo ni kinyume ?

Na unaposema wazungu wana kucheka una maanisha wazungu gani na wanakucheka kwanini ?

Je unafikiri kila mwafrika ana yafanya hayo unayohisi kwayo wazungu wanawacheka ?

Hapa nakupa malengo ya dini japokuwa swali hili nimekuuliza hapo juu,na ninajua usingeweza kulijibu.

Malengo ya dini :

1. Dini imekuja kuilinda akili ya mtu

Hili ni miongoni mwa malengo ya dini,kuja kwake ni kuilinda akili ya binadamu isifisidike,yaani isiingiwe na uchafu na kuyakemea yote yapelekayo akili kuharibika,kama vile matumizi ya pombe,madawa ya kulevya na mfano wake.

2. Dini imekuja kulinda mali za mtu

Hili pia ni lengo la dini. Kuwepo kwa dini watu watajua kuchunga amana za watu,kuepuka dhuluma,kutafuta machumo ya halali,kuacha kula mali za mayatima na mfano wake.

3. Dini imekuja kulinda vizazi vys watu.

Hapa ndio maana unakuta dini inakemea sana uzinzi na mfano wake.

4. Dini imekuja kulinda na kichunga heshima ya mtu

Hapa dini imekuja kutufunza jinsi ya kuishi na wenzi wako,wapendwa wako na maadui zako na mfano wake.

5. Dini imekuja kututoa kutoka katika hali duni kiutendaji kwenda katika hali ya juu kiutendaji

Dini imekuja kurekebisha zile ada na desturi za kihayawani,ushirikina na ujings mwengine.

Narudi..........
Na wewe ni wale wale, huna lolote.
Kwani mtu kutambua kuwa "UKILALA NA MKE WA MTU SI VIZURI" mpaka awe nfuasi wa Dini fulani?

Mtu kukupatia msaada fulani mpaka awe wa dini fulani?

Mbona ni vitu vya kawaida kabisa hivyo jamani, hata haihitajiki dini kuyatambua/kuyatenda.

Pengine nikuulize, "Bila dini, watu wangeona kuua wenzao ni kitendo chema?

Kiranga
 
Hapo shida iQ yetu ndogo.umeeleweka vizuri sana lakini dini imani na si wote wapo kwenye imani hizo,wema au ubaya ni tabia ya mtu si dini flani.ni vema tukajifunza kutenda mema bila kutegemea dini.mtoa maada wetu ametujuza kua baada ya kumusaidia yule bwana yule bwana msaidiwaji aliuliza kama we2 ni dini flani?bila shaka tatizo hapo ni mazoea.
 
Hapo shida iQ yetu ndogo.umeeleweka vizuri sana lakini dini imani na si wote wapo kwenye imani hizo,wema au ubaya ni tabia ya mtu si dini flani.ni vema tukajifunza kutenda mema bila kutegemea dini.mtoa maada wetu ametujuza kua baada ya kumusaidia yule bwana yule bwana msaidiwaji aliuliza kama we2 ni dini flani?bila shaka tatizo hapo ni mazoea.
kumbe wewe umemuelewa vema kabisa aliyeleta mada.
 
Leo nilikuwa natoka kazini nikawa nawaza sana jinsi Wa Africa tunavyogombana kwajili ya dini, dhehebu, nikajikuta hadi nafika nyumbani natafakari ukuu wa Mungu. Nikajiuliza je kama Mungu anapenda baadhi ya dini na baadhi ya madhebu inamaana hayo madhehebu pendwa au dini pendwa hazipati shida yoyote? Je waliozama MV bukoma, Nyerere, na ile ya Zanzibar je hakukuwa na dini pendwa na Mungu au inayomtii Mungu?
Nikajikuta naingia nyumbani mbwa wangu ananipokea kwa changwe na mpaka sasa sina majibu
 
Back
Top Bottom