Nimekaa chini nimewazaaaaaa nimeona ifike mahali sasa nitulie nitakuja kukutana na mavampire ninyonywe damu nife,
Nilikutana na huyu mtu kitambo ila tulikua tuna flirt haikua ile serious,
Jana bhana katika kuchat chat nikamwambia mgongo unauma akasema niende kwake akanifanyie massage, kwa tamaa zangu si nikaenda bhana,
Nimekaribishwa vizuri, msosi mtamu nikapewa sikujua kumbe nashibishwa ili nikakomeshwe,
Baada ya mapumziko akaniuliza massage nifanyiwe wapi sitting room au chumbani? nikamwambia hapo hapo sitting room, si ndio akaanza kuandaa vifaa, nilimuona kama amechukua muda mrefu sana kuandaa ila nikasema fresh tu kikubwa mwili ukandwe kandwe,
Akanitoa nguo zote na yeye akatoa nguo zake tukawa kama tulivyozaliwa, akaniambia nilale kifudi fudi nikiwa kwenye sofa, akaanza kunimiminia mafuta mgongo wote na shughuli ya massage ikaanza, ilikua poa sana, ana mikono laini afu ina joto pia anajua utundu wa massage, zoezi likaendelea kama dakika 30 hivi akaongeza mafuta mengi sana akaja kwa juu yangu akawa ananisugua kwa chuchu zake yaani dizaini kama ana slide hivi,
Hilo zoezi nililifurahia pia,
Ilichukua dakika 30 zingine, akaacha, nikiwa nimetulia hivyo hivyo kifudi fudi nikahisi ubaridi mkali mgongoni, nikashtuka akanitoa hofu kumbe alikua ananimwagia matone matone ya barafu alilokua kalishika, akaliweka mgongoni akawa analitembeza kwa ulimi lile barafu, ule ubaridi ulinikata kabisa stimu, zoezi liliendelea kwa dakika 20,
Nikaanza kusikia vitone vingine vinashuka hadi karibu na mfereji, ila haviunguzi, kuangalia ni asali akaanza kulamba kila asali ilipopita akanigeuza akaimwagia kwenye vichuchu vyangu kwenye kitovu, kitovu changu kipo very sensitive alipokua anapitisha ulimi nilijisikia karaha nikawa namtoa akashuka mpaka chini huko sasa ndio nikaanza kuenjoy,
Akatoka chini akarudi juu alipomwaga asali kwenye chuchu na kuanza kunyonya, sijakaa sawa akatoa lolipop akashuka nayo huko chini akawa anakisugua kissme kwa lolipop halafu anaitoa lolipop anaweka ulimi wake, hapa nilikua na mixed feelings raha lakini pia nilikua naogopa asije akaiingiza hiyo pipi huko chini, nachukia penetration, kwa hiyo akili yangu ikawa imefocus zaidi nisije nikaingizwa lolipop nashukuru hakuingiza,
Akaacha zoezi la pipi akasimama na kwenda kwenye friji akarudi kabeba kitray kuangalia hivi kuna kikopo cha icecream na matunda ya strawberry na zabibu za kijani, akanishika mkono tuhamie chumbani, rohoni nikasema nimekwishaaaa leo nageuzwa smoothie,
Tulivyofika chumbani akanisukumia kitandani (mtoto ana mbwembwe huyooo) akachukua strawberry moja akachovya kwenye icecream akaanza kunipaka shingoni alirudia zoezi hilo mara nyingi baadae akaanza kupitisha ulimi wake kulamba icecream na shingo yangu kwa wakati mmoja, kuna muda akachukua zabibu kama tatu hivi akazipanga shingoni akaanza kuzing'ata guys niliogopaaa nikajua nang'atwa shingo, haya mambo yasikie kwa mwenzio tu,
Alionesha anaenjoy sana akili yake haikua hapo wakati mie akili yangu ilikua kwenye hofu ya kung'atwa na ule ubaridi ulinikera lakini nikavumilia nisimkate stimu,
Akaing'ata strawberry ule mchuzi ulivyokua unatiririka akaelekeza kitovuni kwangu akaanza kuunyonya, sipendi mtu kuchezea kitovu changuuu nilitamani kupiga kelele,
Mungu si Athumani wala Erick si ndio mlango wake ukagongwa bhana, akakasirika ni nani huyo anamsumbua, nikamwambia akamsilikize alikua hataki nikasimama nikamwambia hatuoondoka huyo msikilize, alivyoenda tu kumsikiliza nikazama bafuni, nikaoga chapu chapu kutoa hayo maasali na maicecream yake nisijefatwa na nyuki buree,
Hadi anarudi akanikuta nishavaa nabana nywele zangu nisepe, alimind,
Nimeangalia hapa kumbe ni fetish kutumia matunda/chakula kwenye sex inaitwa Sitophilia, Dunia ina mambo.