Utundu ukizidi sana kitandani inakuwa kero

Status
Not open for further replies.
Wakubwa tunaelewa zoezi halikuishia hapo 😂
 
Ndio hapo sasa hadi na mimi nikashindwa kuonesha utundu wangu,

"Inatakiwa iwe doze doze" mtoto wa kiTanga una balaa wewe😄😄😁
Kila siku kitu kimoja kimoja halafu unakifanya kwa ufundi,umakini na ustadi uliotukuka 😜.

Inatakiwa ulomfanyia akitoka hapo.
Anarudi tena na tena.
Bila kuitwa.

Ila na wewe ni mvumilivu jamani😅
Uliwezaje kuvumilia hiyo mibarafu ilivo ya Baridi 😖
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…