Utundu ukizidi sana kitandani inakuwa kero

Status
Not open for further replies.
Nakwambia nilisema ngoja nione hadi mwisho si wajua kujifunza ni kila siku,
Ilifika muda nilihisi naganda kwa baridi🥶🥲
 
Kwanini dinner na sio lunch wala breakfast
Kwa mtazamo wangu, dinner ni nzuri na mnakuwa na muda wa kutosha kuzungumza, na kuwa na mambo mengine tofauti na mchana ama asubuhi hasa upande wa majukumu una unatuhitaji!!!

Pia upande wa vyakula breakfast mostly ni ngano ngano na ngano mix nyama ila dinner inakuwa ni menyu ambayo kdg ni attractive and ladhable
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…