Utundu ukizidi sana kitandani inakuwa kero

Status
Not open for further replies.
Hii imerejewa Dr. Mariposa
 
Utashangaa na wewe unamtaka mariposa kimoyomoyo halafu hapa unajifanya unampondea
Hapana mdogo angu. Ethics zangu ziko juu sana.
Hapa nilishatoka na member mmoja tu, ila baada ya kuona siku ya kwanza 1 nime spend 300,000/= nikaona is not worth it. Hawa wa humu sio level zangu nikawa mpole na nikabaki kuwa nawapa heshima tu na si vinginevyo
 
Naomba mchanganuo wa 300k ilivyotumika
 
Pole! Ila utamu siulisikia?
Aaahhh kwakweli utamu niliusikia, hakuna kitu sikufanyiwa katika yale mwanaume anastahili. Ila sasa niliposhtua cha asubuhi ndio akili ikarudi na 300k imeshakata. Aisee Nilikimbiza gari kwa mawazo kama nimeliiba hivi πŸ˜‚
Roho inauma, pumzinkama zinakata!!! What have i done really??? Miatatu kabisa??? Just for night.?
Aaaahhh nikakubali hizi level maji marefy yataniuaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…