Utundu ukizidi sana kitandani inakuwa kero

Utundu ukizidi sana kitandani inakuwa kero

Status
Not open for further replies.
Sijaelewa hata kimoja kwa sababu zifuatazo.
1. Mtunzi amejieleza yeye mwenyewe kwa jinsia zote mbili i.e mwanamke na mwanaume. Mfano alionekana mwanaume aliposhikwa na mikono laini(ya mwanamke) Alipozungumzia nilipifika tu chumbani akanisukumia kitandani(mtoto anambwembwe huyo) hapa ni wazi mhusika anajieleza kama mwanaume kwa kusukumwa na mwanamke(mtoto mzuri). Lakini mwishoni amesema alioga maji na kufunga nywele. Kufunga nywele ni mwanamke na kuoga mchana ni mwanamke pia au nakosea wanaume wenzangu?. Lakini pia mwanaume haendi nyumbani kwa mwanamke na wala hakimbii sex.

2. Stori hii mtunzi hajaandika bali ametangaza kile kilichotokea.
 
Sijaelewa hata kimoja kwa sababu zifuatazo.
1. Mtunzi amejieleza yeye mwenyewe kwa jinsia zote mbili i.e mwanamke na mwanaume. Mfano alionekana mwanaume aliposhikwa na mikono laini(ya mwanamke). Lakini mwishoni amesema alioga maji na kufunga nywele. Kufunga nywele ni mwanamke na kuoga mchana ni mwanamke pia au nakosea wanaume wenzangu?. Lakini pia mwanaume haendi nyumbani kwa mwanamke na wala hakimbii sex.

2. Stori hii mtunzi hajaandika bali ametangaza kile kilichotokea.
Ni msagaji huyu alikua na massagr hiyo alikua anafanya upumbavu huo na mwanamke mwenzie
 
Wewe ni kijana mwenzetu au mdingi wetu?..mbona ulienda kujiweka rehani kwenye nyumba ya mtu,umelishwa,ukavuliwa nguo,ukapakwa mafuta mwili mzima alikua anakalibia kukupaka matakoni sasa tena seburen wala hukuogopa KUVULIWA UBINGWA (nyumba,chumba cha mwanamke ni hatarishi sana usijiachie)
 
Kaka samahani Kwa kuingilia mazungumzo, huyu ni mke wangu mtarajiwa naamini amani ya bwana itatamalaki kaka usije ukamvutia shimoni mkuu, ukajipigia sio poa kaka😂😂😂
Ahahahahahah.
Umenichekesha sana mkuu.
Huyu ni mdogo angu kabisaa.
UWe na amani kabisaa. Ila ongeeni vizuri akuweke wazi maana sisi tulishapokea mahali nyumbani
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom