Utundu ukizidi sana kitandani inakuwa kero

Utundu ukizidi sana kitandani inakuwa kero

Status
Not open for further replies.
Sijaelewa hata kimoja kwa sababu zifuatazo.
1. Mtunzi amejieleza yeye mwenyewe kwa jinsia zote mbili i.e mwanamke na mwanaume. Mfano alionekana mwanaume aliposhikwa na mikono laini(ya mwanamke) Alipozungumzia nilipifika tu chumbani akanisukumia kitandani(mtoto anambwembwe huyo) hapa ni wazi mhusika anajieleza kama mwanaume kwa kusukumwa na mwanamke(mtoto mzuri). Lakini mwishoni amesema alioga maji na kufunga nywele. Kufunga nywele ni mwanamke na kuoga mchana ni mwanamke pia au nakosea wanaume wenzangu?. Lakini pia mwanaume haendi nyumbani kwa mwanamke na wala hakimbii sex.

2. Stori hii mtunzi hajaandika bali ametangaza kile kilichotokea.
Wanaume hawaogi mchana wala hawafungi nywele, lol
Sasa nisingeoga na yale maice cream na ma asali si ningenata mwili mzima? Kubana nywele kama nina dreads je?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom