Utundu ukizidi sana kitandani inakuwa kero

Utundu ukizidi sana kitandani inakuwa kero

Status
Not open for further replies.
Ahahahahahah.
Umenichekesha sana mkuu.
Huyu ni mdogo angu kabisaa.
UWe na amani kabisaa. Ila ongeeni vizuri akuweke wazi maana sisi tulishapokea mahali nyumbani
KAZI NDOGO HIYO NILIJUA KESHA OLEWA KUMBE KAPOSWA TU HAHAHAA, KAZI NDOGO HIYO, IKO HIVI NAPANDILIA DAU HUYO ALIE TOA MAHALI TUNAMRUDISHIA HELA YAKE😂🫵
 
Wewe ulitaka mtumie kiasi gani
Hata mimi nimejiuliza hili swali, laki tatu ni ya kumtoa mtu machozi? Najua nitaulizwa kama mimi ninayo, sina lakini utoke na binti wa watu ukamkule uumie kutumia laki tatu 😁😁 (yaani hapo kuna mafuta ya gari, chakula, vinywaji, guest, nauli ya dada na mengineyo). umal*ya kumbe haulipi aisee tunadanganywa
 
Hata mimi nimejiuliza hili swali, laki tatu ni ya kumtoa mtu machozi? Najua nitaulizwa kama mimi ninayo, sina lakini utoke na binti wa watu ukamkule uumie kutumia laki tatu 😁😁 umal*ya kumbe haulipi aisee tunadanganywa
Huyu kaka angu ni m'bahili sana! Bora angesema demu alihongwa 300k ila kumbe hiyo hela walitumia wote.
 
Kwa mtazamo wangu, dinner ni nzuri na mnakuwa na muda wa kutosha kuzungumza, na kuwa na mambo mengine tofauti na mchana ama asubuhi hasa upande wa majukumu una unatuhitaji!!!

Pia upande wa vyakula breakfast mostly ni ngano ngano na ngano mix nyama ila dinner inakuwa ni menyu ambayo kdg ni attractive and ladhable
Umeipamba sana, anyway nitakuja nipe location kuwe na liveband pia
 
Kama unapenda kuangalia porn, kuna dada wa kirusi anaitwa Rita, dah, yule dada anajua sana kufanya massage za aina zote!!!! Angalia viwer wake ni kuanzia mamilioni!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
Hapana darling, mimi na porn mbalimbali,
Yaani mimi mtu akitaka aniteke anifanyie massage napenda mnooooooo
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom