Utungishwaji baada ya kuondolewa mfuko wa uzazi

van de

JF-Expert Member
Joined
Dec 11, 2013
Posts
200
Reaction score
77
wanajamvi naomba kujuzwa, je kuna uwezekano mwanamke akapata ujauzito baada ya kutolewa mfuko wa uzazi? taaluma ya testtube babies ikoje? naomba kujuzwa tafadhali.
 
mh kwa me nnavyojua mfuk wa uzaz ukxhtolew nd bye bye ten yan hp no way out m2 hawez kuxhk mimb kw 7b aftr fertlization to occur kwny fallopian tubes ile zygote inaend kujxhza katik kut za mfuk wa uzaz na kuendlea na ukuaj frm zygote to embryo amby mwshn ndo hudevelep na kuw mtoto.....I hop nmeelewek kam nmekoxea tafadhl nsahhxhe kwa uxtaarab
 
ahsante, vipi kuhusu test tube babies?
 
eeeh!
yaani wazazi tunachezeaga ada jamani!!!!!
mh kwa me nnavyojua mfuk wa uzaz ukxhtolew nd bye bye ten yan hp no way out m2 hawez kuxhk mimb kw 7b aftr fertlization to occur kwny fallopian tubes ile zygote inaend kujxhza katik kut za mfuk wa uzaz na kuendlea na ukuaj frm zygote to embryo amby mwshn ndo hudevelep na kuw mtoto.....I hop nmeelewek kam nmekoxea tafadhl nsahhxhe kwa uxtaarab
 
surrogacy nadhan itasaidia ila umpate aliyetimia kiafya
 
Andika kiswahili kizuri kama nia yako ni nzuri ya kumuelewesha mwenzio
 
surrogacy nadhan itasaidia ila umpate aliyetimia kiafya

Mkuu nimepata idea kutoka google search sasa hii huduma tanzania huwa ipo au mpaka nje ya nchi? Kama ipo ni clinic au hospitali gani? Kama nje ya nchi ni wapi? Pia kama kuna mwenye idea ya gharama. Msaada please.
 
Back
Top Bottom