Utunzaji wa miundombinu (barabara, madaraja n.k)

Utunzaji wa miundombinu (barabara, madaraja n.k)

thns John

Member
Joined
Oct 15, 2022
Posts
10
Reaction score
4
Ndg Watanzania,

Poleni kwa kwa ukosefu wa mvua kunakotishia ukame mkali na njaa kali kama ile ya¹980 kipindi ya ungaa wa (yang"ofe) nikisema hivyo wenzangu wa mkoa wa Kagera mtakumbuka vizuri pengine na maeneo mengine pia.

Ndg Watanzania miundombinu iliyo jengwa, inayoendelea kujengwa, inahitaji utashi wa nia thabiti kuilinda miundombinu hiyo.

Kama uliko kumejengwa daraja rudisha fikira nyuma uone adhaa iliyokuwepo kabla ya ujenzi wa daraja eneo hilo?

Vivyo hivyo ulie karibu na barabara zuri kumbuka kabla hali ya usafiri ilikuwa ngumu kiasi gani?

Palipo hospitali na shule sote tukumbe kabla tulisafiri umbari kiasi gani kufuata huduma hizo mhimu?

Ndg Watanzania wenzangu ujenzi wa miundombinu zozote unatumia raslimali fedha nyingi mno!

Ikiwa wewe + yule + wale+ sisi sote<hatutailinda miundo hiyo basi maana yake tusipoona uthani na uwepo wa miundo mbini na kuilinda kwa gharama yoyote! Siku ikihariwa ikatoweka tutaludi tuliko kuwa kabla na tena zaidi.

Rai yangu: Miundombinu inayojengwa ilindwe na kila mwenye akili timamu. Viongozi wa maeneo waongoze wananchi kutunga sheria ndogo za kwenu na adhabu zitakazo mkuta mharibifu wa miundo mbinu nk.

Niwatakie asubuhi njema.
 
Back
Top Bottom