Utunzaji wa nywele za asili

Dah!mi sina kipilipil nina nywele za kawaida sana.sijui hata type gani ila dizain kama zinaanza kupungua hapo utosi(kipara).ni mafuta gani yanaweza saidi zisipungue zaidi
 
Mimi natumia auntie Jackie's kwa kweli nazipenda products zao kuna kipindi nilisuka nywele za mbele zikakatika nikatumia mafuta yao ya balance grapeseed and avocado nywele zimeota zote mbele..Shea moisture bei zao kwakweli hapana roho itaniuma sana nikinunua..nakomaa na auntie Jackie's
 
Dah!mi sina kipilipil nina nywele za kawaida sana.sijui hata type gani ila dizain kama zinaanza kupungua hapo utosi(kipara).ni mafuta gani yanaweza saidi zisipungue zaidi
Massage hapo utosini na Jamaican black castor oil..ila kama upara ni genetic issue (ipo kwenu),am afraid it won't help much.
 
Dada 'Mimi ni mama' ,naomba tuwasiliane with no joke,rather its so urgent.
My WhatsApp number is 0783059220.
Wishing you all successful day in Jesus Christ!
 
Habari wana jamvi.

Naomba kuelekezwa mafuta mazur ya nywele kwa wanawake, yenye kukuza, kujaza, kunenepesha, na kuifanya nywele iwe na rangi yake asili.

Niombe kutajiwa jina na bei yake tafadhari.
Ahsanten
 
Natumia mafuta ya nazi original yale unakuna nazi na kuchemsha tui au parachute yanauzwa maduka ya vipodozi
 
watafute natural desiree mkuu wana ayo mafuta wafollo Insta wana page yao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…