Utunzaji wa nywele za asili

Waooh asante sana
 
Unatakiwa ujifunze style mbalimbali ambazo unajitengeneza mwenyewe na zinakaa wiki nzima.

View attachment 974732

That's Kasie with flat twist style for one week.
Hii huwa nasuka, nazurura nazo, nikajua ni style ya kubana, cz my dada anajibanaga mwenyew sasa mm ndio siwez kabisa,
Minyoosho hii naisuka kwa mbwembwe zote yan.
 
Hii huwa nasuka, nazurura nazo, nikajua ni style ya kubana, cz my dada anajibanaga mwenyew sasa mm ndio siwez kabisa,
Minyoosho hii naisuka kwa mbwembwe zote yan.

Ukikazana kujifunza utaweza tuu, mwanzo mgumu.
 
Ukikazana kujifunza utaweza tuu, mwanzo mgumu.

nimependa hizo DIY za deep conditioner unazotumia. hapo kwenye ndizi umefanyaje dada na mimi nina natural hair nyingi sasa niliwahi kusaga ndizi nikamix na asali jamani nilipata shida kuitoa kwenye kuosha zinabaki chenga chenga za ndizi.
halafu kingine je nywele yako ni low au high porosity hii ni changamoto pia kwa natural hair.
 

Ndizi ukisaga kwenye blender haiachi particles kwenye nywele na mie nimeitumia sana.

Nywele yangu iko medium not high not low.... Ila madikodiko yanaifanya izidi kujaa na kurefuka na kung'aa. Pia imepunguza kiwango cha kukatika kwa nywele na kupelekea kurefuka na kujaa.
 
Wooow.. Nimeipenda hii.. Nitaanza kuifanya Kwa my little princess... Thanks for sharing Kasie manywele.. Hahaha mwanangu pia namtaniaga baby manywele maana si kwa manywele aliyonayo[emoji23]
 
Vinywele vyangu ni vidogo ndo naanza safari ya Natural hair naweza nikafanya hii Treatment ?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ipi ni nzuri kwa kuanzia?

Sent using Jamii Forums mobile app

Nywele asilia hazina formula, jaribu kitu kimoja asilia Kati ya vitu nilivyoorodhsha. Ukiona matokeo ndani ya wiki basi endelea usipoona badili kwenda kingine....

Ni suala la ubunifu na kile unachopenda. Siwezi kukwambia upake vitunguu maji wakati wewe huvipendi kumbe parachuchi na mtindi ukavipenda na vikafaa kwa nywele yako. Uchaguzi ni wako...

Mie nilianza na aina zote na hadi leo nachanganya changanya leo maji ya mchele kesho vitunguu keshokutwa parachichi mtondogoo mtindi nk nk.
 
Shukrani.
Naweza kutumia Mafuta ya nazi badala ya Olive Oil ?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Weka kapicha
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…