neggirl
JF-Expert Member
- Jul 30, 2009
- 4,849
- 2,132
- Thread starter
-
- #21
Ameen Mkuu, hakika mkuu Kubota na wengine katika jukwaa la ujasiriamali wamejitoa sana kushare nasi ujuzi wao katika eneo la ujasiriamali na hususan ufugaji wa kuku...wanastahili pongezi za dhati kwa kuwa tayari kushare lakini pia kupoteza muda wao ambao ni mali. Binafsi sijawahi kufuga, but nilikuwa napenda sana sana.. na nilianza kusoma muda mrefu thread za ufugaji wa kuku zilizoko humu, ila nikawa nakwama pa kutekelezea mradi huu (eneo), namshukuru Mungu sasa ni na kwangu na eneo linatosha.. nimeanza kufuga na frankly speaking na enjoy na najitoa sana. Na nina IMANI itanilipa.Nimependa sana kuona UZI wa KUBOTA aliouandaa kwa muda mrefu kidogo ukitendewa haki kwa vitendo, kwakweli MUNGU AMBARIKI aendelee na moyo wa kutusaidia vijana.
Last edited by a moderator: