Utunzaji wa vifaranga

Utunzaji wa vifaranga

Nimependa sana kuona UZI wa KUBOTA aliouandaa kwa muda mrefu kidogo ukitendewa haki kwa vitendo, kwakweli MUNGU AMBARIKI aendelee na moyo wa kutusaidia vijana.
Ameen Mkuu, hakika mkuu Kubota na wengine katika jukwaa la ujasiriamali wamejitoa sana kushare nasi ujuzi wao katika eneo la ujasiriamali na hususan ufugaji wa kuku...wanastahili pongezi za dhati kwa kuwa tayari kushare lakini pia kupoteza muda wao ambao ni mali. Binafsi sijawahi kufuga, but nilikuwa napenda sana sana.. na nilianza kusoma muda mrefu thread za ufugaji wa kuku zilizoko humu, ila nikawa nakwama pa kutekelezea mradi huu (eneo), namshukuru Mungu sasa ni na kwangu na eneo linatosha.. nimeanza kufuga na frankly speaking na enjoy na najitoa sana. Na nina IMANI itanilipa.
 
Last edited by a moderator:
Pamoja tunaweza...Hadi June nitakuwa mbali sana...
 
Attachments

  • 1420786453965.jpg
    1420786453965.jpg
    102.7 KB · Views: 167
  • 1420786473463.jpg
    1420786473463.jpg
    64.1 KB · Views: 162
  • 1420786526664.jpg
    1420786526664.jpg
    62.3 KB · Views: 155
Jamani hongera sana wakuu Neggirl na Milcah28 inatia moyo sana kuona matokeo mazuri. Hata mimi napenda sana kuku sijui kwanini hata kujaribu biashara zingine sipendi labda niajifunze kutumia product zake kama nyama na mayai kupika vitu na kuuza. Kuku wamenilea na hata nipate kazi nzuri vipi huwa siachi kufuga ingawa kutanuka ndio taratibu sana. Mungu awatie nguvu wafugaji na mkue na kutanuka
 
Sante mama joe..ila mbona inatanuka tu sema inatakiwa kujitoa kwelikweli
 
Asante kujitoa ndo issue pia gharama kubwa ni ujenzi wa mabanda na wafabyakazi wazuri. Ila mdogo mdogo tutafika maana napenda kufugia ninapoishi kuweka mtu tu aangalie inataka moyo mradi haukui kabisa.

Asante Mama Joe kwa kututia moyo.
 
Last edited by a moderator:
Asante kujitoa ndo issue pia gharama kubwa ni ujenzi wa mabanda na wafabyakazi wazuri. Ila mdogo mdogo tutafika maana napenda kufugia ninapoishi kuweka mtu tu aangalie inataka moyo mradi haukui kabisa.

Yes. Bora. Kama una mda usemamie mwenyewe. .ukiweka mtu .ni majangaa sana
 
Back
Top Bottom